Vipindi hatari katika Uchumba/Mahusiano ya Vijana

Umesema ukweli mkuu, Ashraf Hakim ametuonyesha Mwanga km reference na wewe pia umeonyesha Mwanga mwingine kua hawa pasua kichwa wakipasua move on usiwaze mara 3
Wanapenda akikuacha ubaki unalialia; ila ukikaa kimya huwa anaona kama hajafaidika na kitu. Usimpe kichwa kwa kuliakulia na kuomba mrudiane.

Hata kama moyo unauma; jikaze na uugulie kimyakimya.
 
Wanapenda akikuacha ubaki unalialia; ila ukikaa kimya huwa anaona kama hajafaidika na kitu. Usimpe kichwa kwa kuliakulia na kuomba mrudiane.

Hata kama moyo unauma; jikaze na uugulie kimyakimya.
Point hii imenisaidia walikuwa wanajirudisha wenyewe...akisema tuachanae...na mimi nasema powa usiwaze...imeisha simtafuti tenaa....mpk wana jirudi wenywe
 
Cha kusikitisha kipindi ulichopitia Wewe Mungu huwa anaongea na sisi lakini hatuelewi.

Sometimes kuachwa ni Mungu anakuepusha na jinamizi litakalokuja kukugharimu uhai wako, kumbe mke wako bado hujakutana naye ndio Mungu amekupangia.
 
"nikabeba vitu vyangu; nikarudi kwenye nyumba ya urithi kwa mjomba"

Wewe ni mwamba kabisa. Wanaume hatulii lii ukiachwa. Tunasau tunasonga mbele. Big up brother. Na wengine mjifunze. Sio mwanaume umeambiwa hutakiwi unaanza kujiliza mara kuomba omba viushauri. Achana nae tafuta mbususu nyingine. Ziko kibao kwa ajili yetu
 
Excel ina formula nyingi ila ukikaa nayo kazini utaielewa tu ndyo kama mwanaume yani wangekaa kidg tu kukusoma basi ndoa angeiona ile pale.

Ila walishindwa kupractice formula wakaona mambo ni mengi mda mchache.
 
Hujawahi penda af ukavurugwa omba Mungu akuepushe tuu mzee
 
Naona hujaweka unapo kua unaumwa hoi... Na kuishiwa nguvu za uchenjuaji wa nyunyuliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…