Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
Mwenye odds kumi za uhakika nikishinda nampa asilimia 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁Wewe pia ni mmoja wapo Jana ulikua unajiliza hapa kisa mapenzi, umechezea za mbavu
Asante SanaWanapenda akikuacha ubaki unalialia; ila ukikaa kimya huwa anaona kama hajafaidika na kitu. Usimpe kichwa kwa kuliakulia na kuomba mrudiane.
Hata kama moyo unauma; jikaze na uugulie kimyakimya.
Ukiwa na Pesa ku move on ni kugusa tu.
Mbinu za kimedani hizo😎Na pia yatakiwa uwe na option ya wanawake wengi , Hakikisha hauwi na mwanamke mmoja , ili ikitokea uliye nae a main chick amezingua unaenda Kwa side chick unakaa huko unapata relief maana itakuwa ngumu kumuwaza huyu mwanamke wakati upo na mwanamke mwingine anakupa mahaba
Imeniokoa sana hiiMbinu za kimedani hizo😎
SindioMbinu za kimedani hizo😎
😃😃"nikabeba vitu vyangu; nikarudi kwenye nyumba ya urithi kwa mjomba"
Wewe ni mwamba kabisa. Wanaume hatulii lii ukiachwa. Tunasau tunasonga mbele. Big up brother. Na wengine mjifunze. Sio mwanaume umeambiwa hutakiwi unaanza kujiliza mara kuomba omba viushauri. Achana nae tafuta mbususu nyingine. Ziko kibao kwa ajili yetu
Eeh hio ukiwa baharia lazma uitumie, usiweke mayai yote kwenye kapu mojaImeniokoa sana hii