Vipindi hatari katika Uchumba/Mahusiano ya Vijana

Vipindi hatari katika Uchumba/Mahusiano ya Vijana

Na pia yatakiwa uwe na option ya wanawake wengi , Hakikisha hauwi na mwanamke mmoja , ili ikitokea uliye nae a main chick amezingua unaenda Kwa side chick unakaa huko unapata relief maana itakuwa ngumu kumuwaza huyu mwanamke wakati upo na mwanamke mwingine anakupa mahaba
Ukiwa na Pesa ku move on ni kugusa tu.
 
"nikabeba vitu vyangu; nikarudi kwenye nyumba ya urithi kwa mjomba"

Wewe ni mwamba kabisa. Wanaume hatulii lii ukiachwa. Tunasau tunasonga mbele. Big up brother. Na wengine mjifunze. Sio mwanaume umeambiwa hutakiwi unaanza kujiliza mara kuomba omba viushauri. Achana nae tafuta mbususu nyingine. Ziko kibao kwa ajili yetu
😃😃
 
Back
Top Bottom