Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Katika vitu nilivyojifunza, ukiona mtu anajisifu kwenye ngono au anaenda extra mile ili aheshimike kwenye ngono. Huwa kuna tatizo kubwa sana ndani yake haswa kwenye self esteem lakini pia kukosekana kwa potential au mafanikio kwenye sehemu zingine za maisha yake,
Hivyo, ili kupata ile hali ya kuonekana ni muhim inabidi ajiboost kupitia ngono maana watz haswa wa hali zetu. Tunaitukuza kwa kukosa vyanzo vingine vya starehe
Hivyo, ili kupata ile hali ya kuonekana ni muhim inabidi ajiboost kupitia ngono maana watz haswa wa hali zetu. Tunaitukuza kwa kukosa vyanzo vingine vya starehe