MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Mechi za Simba huwaga wanapanga madem tu, hii ligi ya kisela sanaπ€£π€£Tatu Malogo atachezesha mechi zote hizo, kwa hiyo swala la kudondosha alama sahau kabisa
Tumejipanga UBAYA UBWELA
hizo mechi zote watanunua marefa27/04 - Bondeni
02/05 - Mashujaa
05/05 - JKT
08/05 - Pamba
11/05 - KMC
14/05 - Singida BS
16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo π)
17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea π)
Na bado mnaitaka Derby?
View attachment 3312965
Sisi ni tofauti na wao.Timu Ina viporo vingi hatari, huko ulaya Barcelona na Madrid wanalalamika mda mchache wa kupumzika maana unakuta unakipiga UEFA jumatano, ijumamosi Laliga, Jumanne UEFA, ila hapa kwetu unapewa mda mrefu wa ku relax
Kwa kuwa wanalalamika ina maana siyo utaratibu mzuri unaofaa. Uto na Simba wote wamekuwa ni wanufaika wa mechi zao za ligi kuahirishwa kipindi wakiwa na mechi za CAF. Mpira wetu kivyetuvyetu.Timu Ina viporo vingi hatari, huko ulaya Barcelona na Madrid wanalalamika mda mchache wa kupumzika maana unakuta unakipiga UEFA jumatano, ijumamosi Laliga, Jumanne UEFA, ila hapa kwetu unapewa mda mrefu wa ku relax
Tukiamua hatutaki kucheza mwezi wote wa May ni simu moja tu27/04 - Bondeni
02/05 - Mashujaa
05/05 - JKT
08/05 - Pamba
11/05 - KMC
14/05 - Singida BS
16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo π)
17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea π)
Na bado mnaitaka Derby?
Hapa ni Tanzania sio huko Ulaya kwenu. Hapa timu ikifanya vizuri kimataifa , anashukuriwa mama.Timu Ina viporo vingi hatari, huko ulaya Barcelona na Madrid wanalalamika mda mchache wa kupumzika maana unakuta unakipiga UEFA jumatano, ijumamosi Laliga, Jumanne UEFA, ila hapa kwetu unapewa mda mrefu wa ku relax
Kwa utaratibu huu wa viporo hata matokeo yanaweza kupangwaKwa kuwa wanalalamika ina maana siyo utaratibu mzuri unaofaa. Uto na Simba wote wamekuwa ni wanufaika wa mechi zao za ligi kuahirishwa kipindi wakiwa na mechi za CAF. Mpira wetu kivyetuvyetu.
Mama anacheza namba ngapi?Hapa ni Tanzania sio huko Ulaya kwenu. Hapa timu ikifanya vizuri kimataifa , anashukuriwa mama.