Viporo kama vyote, Kama mkitoboa bila kudondosha alama basi walau nitawaheshimu na kuwaona mpo serious

Viporo kama vyote, Kama mkitoboa bila kudondosha alama basi walau nitawaheshimu na kuwaona mpo serious

27/04 - Bondeni
02/05 - Mashujaa
05/05 - JKT
08/05 - Pamba
11/05 - KMC
14/05 - Singida BS
16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo 😀)
17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea 😀)

Na bado mnaitaka Derby?

View attachment 3312965
Halafu kocha mwenyewe kila mechi anachezesha wachezaji walewale! Aisee kuna dalili ya kubakia na kikombe kimoja tu cha kushika nafasi ya nne kwenye ranks za CAF.
 
27/04 - Bondeni
02/05 - Mashujaa
05/05 - JKT
08/05 - Pamba
11/05 - KMC
14/05 - Singida BS
16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo [emoji3])
17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea [emoji3])

Na bado mnaitaka Derby?

View attachment 3312965
Haujifichi!
IMG-20250402-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom