Dume Jembe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 707
- 774
Halafu kocha mwenyewe kila mechi anachezesha wachezaji walewale! Aisee kuna dalili ya kubakia na kikombe kimoja tu cha kushika nafasi ya nne kwenye ranks za CAF.27/04 - Bondeni
02/05 - Mashujaa
05/05 - JKT
08/05 - Pamba
11/05 - KMC
14/05 - Singida BS
16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo 😀)
17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea 😀)
Na bado mnaitaka Derby?
View attachment 3312965
Tayari tunaona viashiria vya matokeo kupangwa kwa baadhi ya timu na viporo wala havihusiki.Kwa utaratibu huu wa viporo hata matokeo yanaweza kupangwa
Haujifichi!27/04 - Bondeni
02/05 - Mashujaa
05/05 - JKT
08/05 - Pamba
11/05 - KMC
14/05 - Singida BS
16-18/05 - Singida BS (CRDB Cup, Yaani hapo Singida aliwe ndani nje mara mbili mfululizo [emoji3])
17/05 - CAFCC Final (Kama itatokea [emoji3])
Na bado mnaitaka Derby?
View attachment 3312965
Hili swali watalijibu wale "machawa wa mama"Mama anacheza namba ngapi?
Embu waje kujibuHili swali watalijibu wale "machawa wa mama"