nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
kuna zeee lilituaminisha kwamba ligi ya congo ni perfect kuna gape hadi ya mechi sita hapo kwenye hiyo picha.MBAYA ZAIDI LIGI YAO ILIISHA 2 WEEKS AGO MAZEMBE AKIWA NA MECHI TATU MKONONI, YA KWETU ILIISHA KWA SIKU MOJA ZIKAMALIZA ZOTE.mbona zahera hazungumzii hayo?nachukia sana makocha wanmaotoka kwenye SHITHOLE countries kama yetu kujifanya kwao ni perfect sana kama yule kichaa mwingine wa mbeya city kutoka burundiVilifika 11 kama vya wale jamaa?
Kama hujaelewa mantiki ya hii thread pole sanaWewe unataka tuige makosa? Watanzania hovyo sana
sijawahi kumsikia zahera akisema ulichokisema yeye kila siku alikuwa anatolea congo mfano kwamba ipo perfect.Unahalalisha ujinga kwa ujinga... hvi tungekuwa na changamoto kama DRC za kimiundombinu na kisiasa sijui kama tff wangeweza hata fanikisha kombe la miwa..
Kwa hiyo TUNATAKIWA TUWE NA VIPORO KWA VILE KWA ZAHERA kuna viporo...??? Busara haiuzwikuna zeee lilituaminisha kwamba ligi ya congo ni perfect kuna gape hadi ya mechi sita hapo kwenye hiyo picha.MBAYA ZAIDI LIGI YAO ILIISHA 2 WEEKS AGO MAZEMBE AKIWA NA MECHI TATU MKONONI, YA KWETU ILIISHA KWA SIKU MOJA ZIKAMALIZA ZOTE.mbona zahera hazungumzii hayo?nachukia sana makocha wanmaotoka kwenye SHITHOLE countries kama yetu kujifanya kwao ni perfect sana kama yule kichaa mwingine wa mbeya city kutoka burundi
Jamaa hajielewi kabisa huyu..Kwa hiyo TUNATAKIWA TUWE NA VIPORO KWA VILE KWA ZAHERA kuna viporo...??? Busara haiuzwi
Hivi timu kama Simba inawachezaji wangapi? Kama ni 26 au zaidi kwa nini wasicheze mechi mbili kwa wakati mmoja? NAKUMBUKA WAKATI WA KOMBE LA MAPINDUZI KUNA MTU ALITAMBIA HILI... kwamba Simba ina uwezo wa kucheza mechi mbili kwa wakati mmoja.... Lakini simshangai maana hadi leo bado hajahamia YANGA baada ya LIVA kufanya yao..halafu ni timu 6 zinashiriki kama zingekuwa ishirini kama za kwetu ukijumlisha na mashindano ya sport pesa na mapinduzi ni wazi viporo vingekuwa zaidi huyu jamaa kawaambukiza unafiki mpaka mashabiki wake
mleta mada anamaanisha aliyekosa busara ni yule anayemcheka mwenzake kavaa nguo yenye viraka kumbe yeye yuko uchi hata suruali hanaJamaa hajielewi kabisa huyu..
Sawa mkuu... ila busara ni kutomkimbiza chizi akikuibia nguo zako wewe ukiwa uchi,maana chizi utaonekana wwe sasa.mleta mada anamaanisha aliyekosa busara ni yule anayemcheka mwenzake kavaa nguo yenye viraka kumbe yeye yuko uchi hata suruali hana
Kwani Zahera ndo manager wa bodi ya ligi Congo?Nisifiche aisee,hili zee huwa linanikera na lina wafuasi wake mazumbukuku hata hapa utayaona yanakuja na matusi ya kishoga baada ya kuzidiwa hoja,huyu mnafiki zahera spent most of the recently finished season slandering simba,tff and TaNZANIA kumbe huko kwao ni kituko.Hivi unajua hadi league yao imeisha majuzi Tp mazembe alikuwa bado hajamaliza mechi tatu?
Angalia hapa msimamo wa ligi yao tarehe 21/04/2019 uniambie umeona nini?kuna teams hapo zilikuwa hadi mechi sita nyuma na mazembe mechi tano nyuma ILA ZEE LILIKUWA KILA SIKU LINATUAMINISHA HUKO CONGO MAMBO NI MSWANO TU.SHUBAMIIT PUNGUAN WAHED
View attachment 1121371
MhayaMchagaMnyakyusa.Zahera ni zaidi ya timu ya Yanga... Hakuna kiongozi hata mwanachama wa Yanga mwenye uwezo wa kumnyoshea kidole yule jamaa.