nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Nisifiche aisee,hili zee huwa linanikera na lina wafuasi wake mazumbukuku hata hapa utayaona yanakuja na matusi ya kishoga baada ya kuzidiwa hoja,huyu mnafiki zahera spent most of the recently finished season slandering simba,tff and TaNZANIA kumbe huko kwao ni kituko.Hivi unajua hadi league yao imeisha majuzi Tp mazembe alikuwa bado hajamaliza mechi tatu?
Angalia hapa msimamo wa ligi yao tarehe 21/04/2019 uniambie umeona nini?kuna teams hapo zilikuwa hadi mechi sita nyuma na mazembe mechi tano nyuma ILA ZEE LILIKUWA KILA SIKU LINATUAMINISHA HUKO CONGO MAMBO NI MSWANO TU.SHUBAMIIT PUNGUAN WAHED