Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila jamani kiukweli nilichojifunza usije kupanda fastjet nawewe ukasema umepanda ndege. Halafu ukaenda kupanda ndege zenyewe za kimataifa na maconfidence yako uloyatoa fastjet ni utaumbuka!!!!!!
Yani zile ni ndege, halafu fastjet ni mabasi yanayosafiri angani. Wenzetu wana state of the art facilities ambazo huzikuti fastjet. My 1st experience from fastjet kwenda ndege nyingine niliumbuka sana..
Mkuu kuna ka story eti Mwalimu alienda na kawawa london kwenye mkutano wa jumuiya ya madola sasa ilivyofika muda wa kulala kila mtu akaenda kwenye chumba chake. Kawawa akaingia kwake akakuta room iko empty hamna kochi kitanda wala meza.siku ya kurudi nilipanda ndege nikiwa na confidence zaidi. Nilipangiwa siti ya mbele ambayo mbele yangu hakukua na siti, utata nikajifanya nina ma comfidence tukapewa headphones nikawa najisiemea hawa wahudumu hawana akili wametupa headphones wakati hamna screen mbele yetu. Zilikua mbili na za mm
aza jirani nikazirudisha.
Huyo maza mbongo alikua kushoto kwangu alikua ananiangalia kila ninachofanya hadi nikajuta kukaa na mbongo maana najua ukibugi kitu afu akiwa pembeni noma inakua zaidi kuliko angekua mzungu.
Baadae kuna mzungu kushoto akapress kwenye siti yake ikatokea screen duh nilishangaa sema ikabidi nivunge sina mzuka wa kucheki screen yao kumbe wapi sema as nilisharudisha headphones. Pia kwenye kutoa kimeza flani kuwekea drinks na msosi sikuweza nikamuuliza mzungu wa jirani ndo akanisaidia.
Nadhani hivyo ndo vilinipa shida
tujitahid tupandishe watoto wetu ndege mapema jamani maana ni aibu kwa karne hii unakuta mtu kupanda basi tu anatapika je ndege akianda si ndo itakuwa hatari?
Mie niliomba kuongezewa msosi hahaaaa
Mkuu kuna ka story eti Mwalimu alienda na kawawa london kwenye mkutano wa jumuiya ya madola sasa ilivyofika muda wa kulala kila mtu akaenda kwenye chumba chake. Kawawa akaingia kwake akakuta room iko empty hamna kochi kitanda wala meza. Wazee wetu wa zamani walikuwa hawataki shari mzee akatandika koti lake akauchapa usingizi kwenye sakafu. Asubuhi Mwalimu akaja kumpitia akashangaa mtu yupo chini room iko empty hakuna mabadiliko. Ikabidi mwalimu amfundishe kumbe mambo yalikuwa ya ku switch tu kitanda hicho mara meza enhee makochi kawawa aliumia sana kwa ushamba wake
Waliongeza?
Hahaaa hapana waliniambia ngoja tuwagaie wengine vikibaki watanipa naona walinipa jibu kistaarabu kwamba ni no
Cjui nitakuja panda hilo pipa.Ikitokea tu chance faster nitakuja kwenye huu uzi kisaka mzoefu nimpm kabla