Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
tinna cute naomba unijuze ni kwanini hawaruhusu hizo perfumes? Na je ni conditions zipi kwa ujumla za kuzingatia wakati wa kusafiri na ndege?Mie mbona sitasahau,,,,,,,,,,
cku iyo nilijipodoa kama naenda harusini kufika airport parfume yng ikawekwa kwny dustibini niliumia sana.............
nilipoingia ndani sijui ni uoga nikaita air host aje kunifunga mkanda kasheshe wkt wa kushuka mkanda ukanishinda kufungua ikabidi jirani yng kk mmoja anisaidie..
Duh, sitasahau zile ngazi za lift pale JKNIA zilivyoniumbua, nilianguka alafu kuangalia kila mtu ananikodolea na pole zao nikaona kama za kinafiki wakati inawezekana walikuwa sincere, otherwise mambo mengine nilichukulia poa
Hahahahahaha lol! Kama nakuona vile baada ya kupiga mueleka huku ukijikokota taratibu kuinuka na kuangalia kama kuna watu wamekuona jinsi ulivyopiga mueleka na kukuta kila mtu anakukudolea wewe lol!!!! Ukabaki unajibaraguza tu na kuendelea na zoezi lako ππ la kuinuka.