Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Duuuu ntakuja kutoa ushuhuda nikishapanda around this year[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
Hahahahahaha

Sent from my HUAWEI Y300-0100 using JamiiForums mobile app
 
Haka kathread kamenikumbusha mbali sana asee...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi sikumbuki vizuri,ila nina zaidi ya masaa laki moja hewani
Hahahah hata ile Tanker inayojaza mafuta ya Stealth bomber sijui kama zimefikisha masaa laki moja hewani

Au wewe ni Jakaya?

Wewe ni kiboko
 
Duh mm nlikuwa natoka mwanza kuja dar. Na nlikuwa na familia yangu yote tulikuwa tunakuja likizo. I was very happy ila ndege ikiwa juu ndo nikajiuliza why if ndege iki crash maana tye whole of my family is gone na nitafutika ktk uso wa duia without leaving a mark kwamba huyu mtu alikuwepo. Baadae nikazoea tu. Ila nikasafiri international. Serioua it was stressfully nlichange ndege mara tatu sasa maudhi ni kutafuta mageti ya kwenda kuboard

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nakwenda TURKY na jamaa yng mmoja hivi..MIMI NDY FIRST TIME KUPANDA MWEWE...ila Yeye ni Mzoefu.....basi muda wa chakula Ukafika nikala kumaliza jamaa AKANAMBIYA inabidi NIMPE DOLA 30 US akalipie CHAKULA nilichokula...Jamaa alitoka kwa MUDA NA ILE PESA muda KIDOGO akarudi...na mimi niliamini SABABU WATU WENGINE NAO WALIKUWA WAKIAMKA MARA WANARUDI..KUMBE WANAKWENDA CHOONI..MIMI SIJUWI....YEYE ALINIDANGANYA NDY WANAKWENDA... KULIPA VILE........BALAA lilianza BAADA YA KUMWITA muhudumu ANIONGEZE KINGINE......akanambiya mbona ni BURE TU?jamaa ilibidi ateme KIBUNDA CHANGU CHOTE ..na HATUKUONGEA hadi Tunafika....INSTANBUL...lakini nilijiona MJINGA SN kulipishwa Chakula WAKATI NI BURE KABISA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…