Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Siku nitakayo panda ndege nahisi nitaboronga sana utaratibu.
wanatoa maelekezo mkuu kabla haijapaa cha muhim uwe makini kusikiliza tu na hayo maelekezo ni kila siku manake wanaamini kila siku kuna abiria mpya ndio mara yake ya kwanza kupanda ndege pia kuna technologia kubadilika so instructions muhim
 
Kifinga ujambo mie napanda kesho nipe utalatibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mh mie ntaishia huku chini tu kwenye mabasi, ndoto za kupanda hayo madude ambayo hata nikiota nipo angani moyo unauma ni wasiwasi mpk nalia... hapana... baharini ndo kabisa naogopa mpk natapika... mie bodaboda na bajaji siku mambo yakiwa vizur napanda basi
 
Pole sana ndugu
 
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
Hahahah ulivunja sanduku siku hyo
 
ha hahaha
 
Nimecheka sana hadi machozi yamenitoka ......lol
 
Mkuu business Class ndio ndege ya wapi hio
Mkuu huku uswahilini kwetu( economy) Mimi napapenda sana maana nimewahi kukaa na jinsia tofauti alafu nilikua ndo Mara yake ya kwanza na lugha nilikua tatizo kwake, nilijichukulia point na bahati nzuri wote tulikua tutaenda japan. Nitarudi kukusimulia kilichofuata baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi ilikua 2014 dar to mbeya. Nilikua napiga kelele kua Ticket yangu Haina City No. kumbe unapewa City No. pindi napanda.
nilipopanda nikawa nakenua meno kila mtu ananishangaa. alafu nilikua na viroba vya konyag
Hahaaaaaa aaaaaaa[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…