M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Laiti kile kiharufu cha kwenye Ndege kingekuwa kinapigwa kwenye kipochi manyoya hakika tunge-enjoy sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanatoa maelekezo mkuu kabla haijapaa cha muhim uwe makini kusikiliza tu na hayo maelekezo ni kila siku manake wanaamini kila siku kuna abiria mpya ndio mara yake ya kwanza kupanda ndege pia kuna technologia kubadilika so instructions muhimSiku nitakayo panda ndege nahisi nitaboronga sana utaratibu.
wanatoa maelekezo mkuu kabla haijapaa cha muhim uwe makini kusikiliza tu na hayo maelekezo ni kila siku manake wanaamini kila siku kuna abiria mpya ndio mara yake ya kwanza kupanda ndege pia kuna technologia kubadilika so instructions muhimSiku nitakayo panda ndege nahisi nitaboronga sana utaratibu.
Kifinga ujambo mie napanda kesho nipe utalatibuwanatoa maelekezo mkuu kabla haijapaa cha muhim uwe makini kusikiliza tu na hayo maelekezo ni kila siku manake wanaamini kila siku kuna abiria mpya ndio mara yake ya kwanza kupanda ndege pia kuna technologia kubadilika so instructions muhim
Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2008 mwezi Juni nilikuwa naenda kikazi Lusaka, Zambia basi sijui hili wala lile kwenye tiketi iliandikwa saa ya ndege kuondoka saa 12 asubuhi (ndege ndo inapaa) mimi nikajipa kama dakika 20 kutoka home Tabata mpaka Airport, nikidhani ni kama Mabasi ya Mkoani pale Ubungo stendi duuh ile kufika nikaambiwa muda umeisha daah! Nilichokaje. But taratibu nikajifunza muda wa kufika airport, vitu visivyoruhusiwa kubeba kwenye ndege.
**NEW DEVELOPMENT
Mwezi Juni 2015 nilipata safari ya kwenda CAMEROON (kwa hisani ya Watu wamarekani USAID) sasa tukiwa huko tukalipwa posho kwa hela ya huko Central African Franc sasa nikazibana nije kubadilishia Bongo nafika bongo Bureau De Change zote hawabadilishi hizi pesa yaani nmepagawa sijui nikazitupe Coco maana....
****MPYA ya 2016
Mwezi Januari nilienda NEW DELHI duuh pale airport hakuna sijui kutangaza wala nini ni KIMYA KIMYA tu ukisubiri matangazo utastukia ndege ishakuacha.
HAKIKA USHAMBA MZIGO!
Hahahah ulivunja sanduku siku hyoMimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
ha hahahaNilikuwa nakwenda TURKY na jamaa yng mmoja hivi..MIMI NDY FIRST TIME KUPANDA MWEWE...ila Yeye ni Mzoefu.....basi muda wa chakula Ukafika nikala kumaliza jamaa AKANAMBIYA inabidi NIMPE DOLA 30 US akalipie CHAKULA nilichokula...Jamaa alitoka kwa MUDA NA ILE PESA muda KIDOGO akarudi...na mimi niliamini SABABU WATU WENGINE NAO WALIKUWA WAKIAMKA MARA WANARUDI..KUMBE WANAKWENDA CHOONI..MIMI SIJUWI....YEYE ALINIDANGANYA NDY WANAKWENDA... KULIPA VILE........BALAA lilianza BAADA YA KUMWITA muhudumu ANIONGEZE KINGINE......akanambiya mbona ni BURE TU?jamaa ilibidi ateme KIBUNDA CHANGU CHOTE ..na HATUKUONGEA hadi Tunafika....INSTANBUL...lakini nilijiona MJINGA SN kulipishwa Chakula WAKATI NI BURE KABISA...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana hadi machozi yamenitoka ......lolNilikuwa nakwenda TURKY na jamaa yng mmoja hivi..MIMI NDY FIRST TIME KUPANDA MWEWE...ila Yeye ni Mzoefu.....basi muda wa chakula Ukafika nikala kumaliza jamaa AKANAMBIYA inabidi NIMPE DOLA 30 US akalipie CHAKULA nilichokula...Jamaa alitoka kwa MUDA NA ILE PESA muda KIDOGO akarudi...na mimi niliamini SABABU WATU WENGINE NAO WALIKUWA WAKIAMKA MARA WANARUDI..KUMBE WANAKWENDA CHOONI..MIMI SIJUWI....YEYE ALINIDANGANYA NDY WANAKWENDA... KULIPA VILE........BALAA lilianza BAADA YA KUMWITA muhudumu ANIONGEZE KINGINE......akanambiya mbona ni BURE TU?jamaa ilibidi ateme KIBUNDA CHANGU CHOTE ..na HATUKUONGEA hadi Tunafika....INSTANBUL...lakini nilijiona MJINGA SN kulipishwa Chakula WAKATI NI BURE KABISA...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora yangu mie
Mwenzangu alifunga mkanda fundo
Sijui alifikiri nikamba[emoji3]
Ndege acha iitwe ndege[emoji3]
Mkuu huku uswahilini kwetu( economy) Mimi napapenda sana maana nimewahi kukaa na jinsia tofauti alafu nilikua ndo Mara yake ya kwanza na lugha nilikua tatizo kwake, nilijichukulia point na bahati nzuri wote tulikua tutaenda japan. Nitarudi kukusimulia kilichofuata baadaeMkuu business Class ndio ndege ya wapi hio
Nenda na Mada ya huu UZI
Hahaaaaaa aaaaaaa[emoji23]mimi ilikua 2014 dar to mbeya. Nilikua napiga kelele kua Ticket yangu Haina City No. kumbe unapewa City No. pindi napanda.
nilipopanda nikawa nakenua meno kila mtu ananishangaa. alafu nilikua na viroba vya konyag