Ha ha ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah! ndege ina speed jamani nilipanda AURIC AIR toka Njombe to Iringa ile naingia tu nasogea kwenye siti yangu ili nikae naambiwa "wa kushuka Iringa",nikadata nauliza wa kushuka Iringa mnamaanisha nini,yule kaka akasema tushafika Iringa,sikuonja hata siti ya ndege ikanibidi nishuke maana tuliisha fika Iringa,duh! ndege inakimbia jamani!
Utakuwa rubani weweMimi sikumbuki vizuri,ila nina zaidi ya masaa laki moja hewani
We captain?Mimi sikumbuki vizuri,ila nina zaidi ya masaa laki moja hewani
Hata marubani hadi wanastaafu hayo masaa huwa hawafikishi mkuu. So unapokuja jf uje umejipanga sio kuongea tu. Masaa laki moja kama unapaaa nonstop usiku na mchana bila kutua utakuwa na miaka 12 angani, and kama unapaa mchana tu basi una miaka 24 angani,Mimi sikumbuki vizuri,ila nina zaidi ya masaa laki moja hewani
Nimecheka hadi nimedondosha simuHata marubani hadi wanastaafu hayo masaa huwa hawafikishi mkuu. So unapokuja jf uje umejipanga sio kuongea tu. Masaa laki moja kama unapaaa nonstop usiku na mchana bila kutua utakuwa na miaka 12 angani, and kama unapaa mchana tu basi una miaka 24 angani,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo aina ya watu tulionao humu, wanadhani kupanda ndege ni sifa saaana
Dah...mkuu ulikuwa kwenye Voyager 1?[emoji15]Mimi sikumbuki vizuri,ila nina zaidi ya masaa laki moja hewani
Uliweka nadhiri kuwa mwakaa huu hauishi?!ππ tunaeleka mwisho wa 2018 na sijawahi panda hii kitu
Tell us a tale dear.. How it was?Mwez wa 2 nilikuwaaa naendaaa Uturukiii ileee ndege imeanza fly nilitapikaaaa kias kwamba huduma ya kwanza wakashindwa nisaidiaaa mpakaaa nilipofikaa airport
Noah vs Dreamliner 787Huu Uzi ni wa kutolea stress zetu sisi wasafiri wa noah
Pole ndugu ndio kujifunza hukoNililipa pesa nyingine nikawekwa kwenye ndege Nyingine (KQ) iliyokuwa inafuata kuondoka pia Nairobi nikapanda ndege ya jioni kwenda Lusaka maana wana ndege mbili (Nairobi-Lusaka). Daah ila mwanzoni macho yalinitoka