Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Dah! ndege ina speed jamani nilipanda AURIC AIR toka Njombe to Iringa ile naingia tu nasogea kwenye siti yangu ili nikae naambiwa "wa kushuka Iringa",nikadata nauliza wa kushuka Iringa mnamaanisha nini,yule kaka akasema tushafika Iringa,sikuonja hata siti ya ndege ikanibidi nishuke maana tuliisha fika Iringa,duh! ndege inakimbia jamani!
Ha ha ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23]

We ulipanda space shuttle sio ndege
 
Nimepanda dreamliner jana wako vizuri sana. Sema lile dude limekomba lounge ikabaki viti tu wakati hadi ac zilikuwa zimezidiwa, viti vilipungua, kulikuwa na joto balaaa. Nikategea niingie wa mwisho yaan hakukuwa na mtu kwenye viti. Nlichogundua hili dege zito sana maana linahangaika sana kuondoka aridhini.na haligain momentum kwa haraka
 
Mimi sikumbuki vizuri,ila nina zaidi ya masaa laki moja hewani
Hata marubani hadi wanastaafu hayo masaa huwa hawafikishi mkuu. So unapokuja jf uje umejipanga sio kuongea tu. Masaa laki moja kama unapaaa nonstop usiku na mchana bila kutua utakuwa na miaka 12 angani, and kama unapaa mchana tu basi una miaka 24 angani,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nililipa pesa nyingine nikawekwa kwenye ndege Nyingine (KQ) iliyokuwa inafuata kuondoka pia Nairobi nikapanda ndege ya jioni kwenda Lusaka maana wana ndege mbili (Nairobi-Lusaka). Daah ila mwanzoni macho yalinitoka
Pole ndugu ndio kujifunza huko
 
Back
Top Bottom