Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

Soma tena
Nilisoma vizur ndio maana nikajibu labda ewew ndio usome upya.,...kwa kukusaidia nilimqoute aliesema kuhusu mkusanyiko wa mabati na injini ubungo akimaniisha mabasi,,,nikamuulize kwani ndege Ni mkusanyiko wa chuma Hadi awe na uhakika wa usalama kiasi hicho!!!!nachoamini hakuna usafir salama duniani Kama siku ya ajali imefika..kikubwa kumuomba mungu na kuwa waangalifu tu.
 
Kwani SOLE za viatu vyako vilikuwa upande sawa na waalimu wetu?
 
Me nilichungulia sana nje, sasahv nimeshazoea...... Hii ni precision air.. Wataalamu location wapi hapo [emoji38]View attachment 1549924
Kwa ukaribu wa uonekano wa hayo majengo hapa lazima ni karibu na Airport, Arusha hapana haiko hivi wala ya Dar wala ya Zanzibar wala ya Kilimanjaro, hapo ndio nawaza wapi huenda Mwanza maana sijawah kufika ukubwan?
 
Siku ya kwanza kupanda ndege aisee nilizinguana na muhudumu kakagua vitu vyangu sasa nashangaa mabeg yangu wanachukua wanapita nayo nyuma kule nami nikajua ndege tunaenda pandia huko huko wanapopeleka mizigo ile muhudumu kuzubaa nshapita afu ww kaka ndege wanaenda kupandia kule watu wote airport hoi bahat nzur ilikuwa ndege ya ucku saa 11
 
ulikuwa unaenda wapi mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…