Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, sitasahau zile ngazi za lift pale JKNIA zilivyoniumbua, nilianguka alafu kuangalia kila mtu ananikodolea na pole zao nikaona kama za kinafiki wakati inawezekana walikuwa sincere, otherwise mambo mengine nilichukulia poa
*whispering* I NEVER TURN MY MOBILE oFF, EVER!!!
Mimi was 2005 to USA..dah vituko vilikuwa vingi but kwa uchache nilishindwa kuflashi choo, airpot Michgan nilirukia elevator inayoshuka badala ya inayopanda nk!
wabahili ka nin vikopo vya soda vidogo kama ninMimi waliniuliza utakula nini? Nikaanza ngonjera(nilishaambiwa nikitaka kurudi na gari ya mtumba nisave kwenye mlo)
Wakaniambia tuna hiki na kile nami nikajitutumua kuuliza bei nikajibiwa ooh no it is inclusive in your ticket basi nikawaaambia walete tu nivikomoe kumbe loh na vile vikali vidogo vidogo vikali kweli
Hadi blanket nikasahau nimeshtuka nashikwa bega kuwa tumefika...hoii halafu hata kongolo hawana siwasahau wale
napita...kwan mbna kila mtu ndege ndege?!!! watu tumepanda helkopta bana..!
Daaaaaaaaa mi wala sikupata shida yoyote hasa kama unajua kiingereza ni kufuata maelekezo tu na tiketi yako inasemaje,nilipanda Qatar Airways Dar to Beirut via Doha walah vitu vilivyomo ndani yani wanakusahaulisha kama uko angani futi 36 elfu maana ni movies, music kahawa/tea, mkikaribia moshi anapita maeneo ya mt kili yani unauona on top nilienjoy sana na tulipoanza kutaka kutua Qatar ndo balaa nilifikir tumepitia nchi moja wapo ya Ulaya kwa jinsi mji ulivyokuwa unavutia hyo airport usiseme yani ndege zao zimejaa balaa nikakumbua vindege vyetu vya atcOmbea usianzie kwenye ndege za jeshi,utajuta! But saiv naona kwaida tu kwenye ndege za aibiria na jeshi pia