Aza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2010
- 1,700
- 230
Njalamatata nacheka hatari uliumbuka na kuumia sana.mabegi yanapita huwezi yabeba hahaaaaa
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi panda ndege ndo natarajia kupanda kwa mara ya kwanza, Je! Ni vitu gani vya msingi kuzingatia ni muhimu kweli kufika masaa mawili kabla?
Kiukweli SITASHAU siku ile maana ilibidi nikodishe HIACE ya wasindikizaji wakati mimi, mke wangu na wazazi tumetangulia na TAXI uwanjani yaani ilikuwa kama harusi Fulani hiv ushamba huu aisee ni hatari
Ukitaka kujua ushamba wa wanyakyusa tembelea Songwe international airport mbeya, yaani watu wanatembea yapata 10kms kuja kushangaa fastjet
Ukome wewe, kichwa chako! Uwanja wa ndege hapa Mafiati umekuwepo miaka na miaka nani anaenda Songwe?
Mimi sikumbuki vizuri,ila nina zaidi ya masaa laki moja hewani
wadereva wa teksi pale airport nao wanaishia kuziona tu ndege kupanda hawapandi ng'o
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...