M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Ile DREAMLINER vipi tena mbona haiji TZ au nayo imeshikiliwa huko ughaibuni jameni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli mimi hizi Local nimepanda sana,enzi hzo tunaishi Mwadui Mining,ile Mwadui ya Nyerere...iliyokuwa the second township in Southern Sahara,tuliokuwa tunasoma boarding ndege ilitubeba hadi Dar na wakati wa likizo iliturudisha nyumbani,nilipomaza Mwadui A Primary school nikapangiwa Ilboru then Tabora school Advance,sasa kila likizo ni ndege mpaka baaaasi....Ushamba ni siku napanda International Flights,nilipanda KLM,nikamimina juice ya nyanya nikijua ni Tomato sauce kwenye msosi,kwenda chooni kushusha gogo ngoma nikashindwa kuflash...ile kufika tu Amsterdam mageti karibu mia,nikapotea na kumiss connection...ikabdi nilale Airport siku mbili....kwa kweli upya ni ushamba
Mkuu salama?Ndio maana yankutumia "fake ID",na hasa pale unapokwepa wanaokutafuta kutokukuelewa kutumia maandishi yako.Ni lazima usiache alama nyuma zinazoweza kukutambulishaMkuu barafu najaribu kuunganisha hii post na ule uzi wako wa Wabeshi, kati ya hii au ile kuna moja siyo sahihi ingawa ni mazingira sawa.
Mkuu salama?Ndio maana yankutumia "fake ID",na hasa pale unapokwepa wanaokutafuta kutokukuelewa kutumia maandishi yako.Ni lazima usiache alama nyuma zinazoweza kukutambulisha
Mchanganyo huu kwako,kwangu ni faida!!
Ha ha ha, mkuu mimi nimesoma ShyBush, sasa ule uzi unanikumbusha mambo kadha wa kadha ya enzi hizo.
Ila nilivyoona hii comment nikakumbuka ule uzi, nimekuelewa mkuu.
Ndo maana tuliambiwa na mstaafu, "Akili za kuambiwa ..."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]kondaabaada ya gradu yangu chuo.Tukarudi mkoa na maza. Fastjet ndo imeanza.N&[HASHTAG]#305[/HASHTAG]; mara yetu ya kwanza wote.
1. Mama anataka kukaa akakuta juu ya siti sehemu ya mizgo kuna mtu kashaweka wake.Akatia,"wee kondaa,we kondaa wéeh,hebu njoo kwanza"
2. Nikajaribu kwenda choóni japo sijabanwa alimradi tu nione pakoje
3.Facebuk page yangu iliomba poo. Mara checkin in at JK&[HASHTAG]#304[/HASHTAG]; Airport. Mara nitupie picha alimradi kila mtu ajue.
4. Tulivofika madreva tax wakaanza kututukana eti "hamna lolote nyie mtakuwa fastjet tu" hapo kisa ni baada ya wao wanatugombania sie hatuna time tunaenda kwny daladala.
5. Jioni napokea simu toka kwa mjomba: "ah mjomba nimeamini ushamba mzigo wa mwiba".Nkamuuliza kwanini? Akasema,"leo sina raha. mama yako kutwa nzima anantambia kwny simu kisa kapanda ndege"
Hahahhhahhaaaaamimi ilikua 2014 dar to mbeya. Nilikua napiga kelele kua Ticket yangu Haina City No. kumbe unapewa City No. pindi napanda.
nilipopanda nikawa nakenua meno kila mtu ananishangaa. alafu nilikua na viroba vya konyag
Hahahahahhhahahahahaaaa uwiiiiiMbeya-Dar na fastjet mama mtu mzima kabeba na kuku kokoliko kufika airport kuku karuka huyooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimepanda ndege za masafa tu...ba,klm,swissair,emirates.....sikupata tabu yoyote kwasababu nilisimuliwa na kuona vingi kwenye tv/movies....lakini sijawahi kui-enjoy wala sitakuja ku-enjoy flight....
Napanda coz i have to....safari za local nita-drive au kupanda bus....i hate flying,kitu kitapaa vipi hewani bila kushikiliwa???kikigoma??i hate flying.
Pole sanasitasahau nilipopanda KLM hadi schipol/amsterdam uholanzi, nilikuwa naunganisha kwenda nchi nyingine ya ulaya. wiki hiyo kuna kijana gaidi wa nigeria alikamatwa anataka kulipua ndege ya delta ya wamarekani, hivyo mwafrica yeyote akionekana alikua akapekuliwa vilivyo. huwezi amini, tulikuwa tumeongozana na wazungu wengi, lakini walipoona ngozi nyeusi tena inatoka africa, waliniweka pembeni wakaanza kukagua doc zangu zote polepole. they really humiliated me, askari mmoja akamwambie mwenzie "mwache uyo dogo hana tatizo", ndio nikaachiwa, lakini hata hivyo hawakuamini, mizigo yangu badala ya kupakiwa kwenye ndege yangu (kwasababu nilishachelewa ndege niliyotakiwa kuunganisha interval ya lisaa limoja) mizigo ilibaki, nilipata extension ya shirika lilelile la ndege bila malipo lakini kwa kupitia ufaransa na nikafika kwa kuchelewa masaa matano, ratiba yangu yote imevurugika. nilipofika airport yangu yamwisho nilikuwa kuna kifurushi wameweka dawa za mswaki, tshirt ya shilika la ndege na kisuruari wakaniambia nitatumia kuvaa, ila niache address ya wapi nitakaa. drive from the airport hadi mtaa niliokuwa naenda kuishi ni nusu saa. nikaondoka. kesho yake, askari walileta mabegi yangu yote. kuangalia, kumbe waliyachelewesha ili wayakague. HAPO NDIPO NILIPOONA UBAGUZI na ukatili wa wazungu. Mungu awasamehe......
Swali lingekuwa kwa nini wanakataza perfume kwenye ndege?Hv perfume huwa znakatazwa kweny ndeg za nje ya nchi au hadi zle za safar ya ndani?
Changanya na za mission town lol! Ukikosea tu umejianika na wenye Nissan nyeupe na SMG zao wanaweza kuanza kukufuatilia ili kutimiza matakwa ya watoa roho za wenzao wasio na hatia. Sinyongi mie! Ila nakumiminia risasi.
Hatari mkuu...wote ulikuwa ugeni wa ndegeMwandende JR umetisha! Kulipia msosi kama upo kwenye fastjet teh teh
Aisee mi nataka Xmas niende Joburg naona nauli ya Rwandair ipo poa 316USD tuHatari mkuu...wote ulikuwa ugeni wa ndege
Karibu mkuu...ila nakusihi RETORIA .au durban uta enjoy zaidi jberg now fujo sana..Aisee mi nataka Xmas niende Joburg naona nauli ya Rwandair ipo poa 316USD tu