Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Habari wanaJF,

Mods nawaombeni kwa nia ya dhati naombeni huu uzi ubakie hapa kwenyw jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.....kwani hapa ni jukwaa la ujumla hoja mchanganyiko...

Tuanze hivi...

Unajua hii dunia biashara za makampuni makubwa zimekua haziishi
Toka lini Ukosefu wa kinga mwilini ukaambukizwa?
Toka lini ukose kinga mwilini ishuke badala ya kuambiwa ule vyakula vya kupandisha kinga unaambiwa meza dawa maisha yako yote

Haya mambo toka huu mwaka uanze nimeanza kuhisi ni biashara tu hapa

Hivi mimi niwe na upungufu wangu wa kinga ya mwili kwa kua nazembea kula vizur nikamwambukize mpenzi wangu ambaye anajijali na anakula mlo kamili na matunda?

Hakuna kitu kinachoitwa HIV dunia hii ukimwi upo tena kwa wazembe wa kutokula vizuri, lakini sio ukimwi wa kuambukizwa?

Utapiamlo wangu unaambukizwaje kwako?ni mfano tu

Magonjwa mengi virus wake huonekana maabara huyu kirusi gani hajawahi kuonekana kwa macho?

Dawa za arvs nahisi ni biashara tu ya makampuni.

Tujiongeze kidogo
Karibuni tulijadili hili

My take: wale wenye mawazo sijui ukimwi ulitengenezwa maabara,huu uzi hauwahusu,wale wenye mawazo mgando kwamba ukimwi ni adhabu ya mungu huu uzi hautowahusu, watu wa theory za gizani pia hamuhitajiki...hapa tunataka tujadili hoja kwa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii maada ni pana lakini sijui kwangu ni Mwenyezi Mungu au vipi nikiwa Kisangani DRC niliishi na shantel kwa miaka miwili akiwa ni mwathirika wa HIV na sikuwahi kutumia kondom lakini nilichomoka mzima, imetokea tena mwaka uliopita jijini Tanga nimedumu na mwathirika bila kujua kwa miezi miwili na kondom sikutumia lakini niko salama, muda mwingine naamini Mwenyezi Mungu aliniokoa labda hadi muda huu sielewi elewi ilikuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…