Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

Tatizo hata kama huamini kama kuna ngoma nshu inakuja sasa watu wanachoambukizana ni kitu ganj ?

Kama kinachoua watu sio ngoma bali ni magonjwa mengine yanayotokana na upungufu wa kinga ya mwili... je tunaambukizana nini ?
Tunaambukiza kirusi,
 
Hii maada ni pana lakini sijui kwangu ni Mwenyezi Mungu au vipi nikiwa Kisangani DRC niliishi na shantel kwa miaka miwili akiwa ni mwathirika wa HIV na sikuwahi kutumia kondom lakini nilichomoka mzima, imetokea tena mwaka uliopita jijini Tanga nimedumu na mwathirika bila kujua kwa miezi miwili na kondom sikutumia lakini niko salama, muda mwingine naamini Mwenyezi Mungu aliniokoa labda hadi muda huu sielewi elewi ilikuaje.
dawa nyingine ya kutoambukizwa ni kuwa na kibamia
 
Hapa kwetu tuna sampuli ambazo ni HIV POSITIVE.. ili kuprove unacho zungumza naomba nikupe offer ya kukuchoma sindano yenye hiyo sampuli ya CC 2 tu.. Kama upo tayar njoo PM ntakufuata ulipo Kwa gharama zangu.. Halafu baada ya muda utaleta hapa mrejesho.
Nilishachoma sindano ya mtu mwenye ukimwi wapi????nilishalala na mwanamke mjane nikakaa naye tena mwathirika wa huo ukimwi wenu fake anameza dawa mbele yangu wapiiii?Nimetembea na wanawake zaidi ya 40 wenye ukimwi wapiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii maada ni pana lakini sijui kwangu ni Mwenyezi Mungu au vipi nikiwa Kisangani DRC niliishi na shantel kwa miaka miwili akiwa ni mwathirika wa HIV na sikuwahi kutumia kondom lakini nilichomoka mzima, imetokea tena mwaka uliopita jijini Tanga nimedumu na mwathirika bila kujua kwa miezi miwili na kondom sikutumia lakini niko salama, muda mwingine naamini Mwenyezi Mungu aliniokoa labda hadi muda huu sielewi elewi ilikuaje.
Upungufu wa kinga hauambukizwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hata kama huamini kama kuna ngoma nshu inakuja sasa watu wanachoambukizana ni kitu ganj ?

Kama kinachoua watu sio ngoma bali ni magonjwa mengine yanayotokana na upungufu wa kinga ya mwili... je tunaambukizana nini ?
Hahahaa hili nadhani ni swali la msingi
 
Maoni yako yamekaa kilevilevi il umendika kwa uhakika wootee kabisa.
 
Hii maada ni pana lakini sijui kwangu ni Mwenyezi Mungu au vipi nikiwa Kisangani DRC niliishi na shantel kwa miaka miwili akiwa ni mwathirika wa HIV na sikuwahi kutumia kondom lakini nilichomoka mzima, imetokea tena mwaka uliopita jijini Tanga nimedumu na mwathirika bila kujua kwa miezi miwili na kondom sikutumia lakini niko salama, muda mwingine naamini Mwenyezi Mungu aliniokoa labda hadi muda huu sielewi elewi ilikuaje.

Ukimwi hauexist na hatakama unaexist hauambukizwi kwa njia ya ngono..
Wazungu niviumbe wabunifu sana...
 
Back
Top Bottom