Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,772
- 4,544
Walipimwa na wakamuonesha status zao kama vipimo fake vinavyosema!
...ni ugonjwa wa tabia na akili,..madaktari wetu hawa vilaza wa kukariri kila walichofundishwa darasa bila kufanya research hawawezi elewa kitu..pathetic
...mbaya zaidi tuna madaktari vilaza ambao hawataki kujishughulisha kujua ukweli nje ya walichokaririshwaHakuna tunachoambukiZana but wazungu wanatuua kisaikolojia!very sad!!
...mbaya zaidi tuna madaktari vilaza ambao hawataki kujishughulisha kujua ukweli nje ya walichokaririshwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo itakuwa umeupandikiza mwilini mwake.Hapa kwetu tuna sampuli ambazo ni HIV POSITIVE.. ili kuprove unacho zungumza naomba nikupe offer ya kukuchoma sindano yenye hiyo sampuli ya CC 2 tu.. Kama upo tayar njoo PM ntakufuata ulipo Kwa gharama zangu.. Halafu baada ya muda utaleta hapa mrejesho.
Kuna mtu anakufa kwa Ukimwi???Hapa kwetu tuna sampuli ambazo ni HIV POSITIVE.. ili kuprove unacho zungumza naomba nikupe offer ya kukuchoma sindano yenye hiyo sampuli ya CC 2 tu.. Kama upo tayar njoo PM ntakufuata ulipo Kwa gharama zangu.. Halafu baada ya muda utaleta hapa mrejesho.
Hivi si wanasema virusi kwa ujumla wake wana maumbo yanayobadilika badilika kila mara??Huyu jamaa ana hoja ya msingi sana ila naona watu wengi hata hawamuelewi aiseeee....
Watu wanaoweza kutengeneza logic ndio wanaweza kumuelewa jamaa.
In reality vijidudu vinavyoeneza magonjwa mengine vipo na ukitafuta structures zake utazipata. Lakini kwa ukimwi ni tofauti.
Hakuna mtu popote duniani atakuambia structure ya kirusi cha ukimwi imekaaje. Hayupo...
Kuna maswali mengi sana kuhusu ukimwi yana utata bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu atakuwa tayari ameshatembea nao, sasa amekuja hapa kupima upepoNenda Jombe au Kahama au Maganzo katembee na wanawake kumi tofauti bila condom halafu ukae ndani ya miaka 5 utaona kama HIV ipo ama la.
Elimu, Elimu, Elimu..
Rudi kasome tena mada yake,..
Anaogopa kwenda kupima.Huyu atakuwa tayari ameshatembea nao, sasa amekuja hapa kupima upepo
Tatzo letu africa hatutaki kusoma kabisaUkimwi ni project kama ilivyo project hii mpya ya climate change/global worming...
Sisi makapuku africa tunalishwa kirahisi kila aina ya upumbavu na tunasadikii
Watu wengi hawataki kufanya research wakajua tatizo letu sisi kubwa mkuu ni kwamba hatuna utamaduni wa kujifunza na kujisomea ndo maana waafrica wengi wanapumbazwaHuyu jamaa ana hoja ya msingi sana ila naona watu wengi hata hawamuelewi aiseeee....
Watu wanaoweza kutengeneza logic ndio wanaweza kumuelewa jamaa.
In reality vijidudu vinavyoeneza magonjwa mengine vipo na ukitafuta structures zake utazipata. Lakini kwa ukimwi ni tofauti.
Hakuna mtu popote duniani atakuambia structure ya kirusi cha ukimwi imekaaje. Hayupo...
Kuna maswali mengi sana kuhusu ukimwi yana utata bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Walaa huwa simfatilii huyo mtu kabisa mimi huwa najisomea nimesoma vitabu vingi tu vya wataalam na wasomi hata ukipita youtube kama wewe ni mvivu wa kusoma utajifunza mengi