acha maneno weweKimsboy... Subiri ukiwa Mwanaume ndo uandike mambo yanayohitaji Elimu.
Kwa sasa andika kwa mantiki ya kutafuta ueleweshwe nasio kuandika kwa mantiki ya kuwaelewesha watu.
Huu uzi unaonyesha kua Watu wanahitaj elimu hasa nyinyi vijana .
Walaa big noAnaogopa kwenda kupima.
Issue sio issue ni kuwa HIV haipo bali ukimwi upoHaya mambo ya kubishana juu ya HIV siyawezi. Kuna siku mgonjwa aliniambia ameambiwa mbegu nyeusi za vitunguu zinatibu ngoma, ameshauriwa aweke kwenye uji lakini asichanganye na ARV.
Joni nililompa nilichukua BNF na kuangalia bei ya dawa anazotumia na bei ya black onion seed. Kwakua ni mkaka aliyeingia darasani alielewa na akaanza kucheka.
Aache kuwahi kwenda kufanya checkup, aanze kujilisha upepo humu.Huyu atakuwa tayari ameshatembea nao, sasa amekuja hapa kupima upepo
Wajinga ndio waliwao...mdogo wangu wa kiume alienda kupimwa ilikua mwaka 2015 akaambiwa ana vvu akaenda hospitali nyingine akapima akaambiwa ana hiv akapanic akaenda hospitali kubwa kama unaijua KCMC akapimwa akaambiwa anao sasa wakataka kumuanzishia arv alipofika nyumbani akagoma kumeza arv badala yake akazitupa chooni akawa anakula vizuri tu nakwambia 2016 mwanzoni kaenda kupima kaambiwa hana ukimwi amepima si zaidi ya mara nane hana kitu..mpaka leo ni nzima wa afya na yupo udsm first year endeleeni kujidanganyaWadanganye hao hao. Binafsi nimezika watu wengi waliogua HIV AIDS. Tena waliteseka sana ukizingatia kulikuwa hakuna ARV kipindi cha miaka ya tisini mwishoni. Usiamini kila unachokiona kwenye internet.
Ukiona mtu kapimwa kaambiwa ana virusi vya ukimwi ujue sio kweli aidha ana ugonjwa mwingine unaomsumbua cha msingi usipanic ukikutwa nao nenda hospital nyingine fanya chek up ya mwili wako vipimo amin nakwambia lazima utakutwa na ugonjwa mwingine mfano tb,malaria,homa etc maana haya magonjwa pia huusika na kushusha kinga ya mwili baada ya hapo tibu tatizo husika then kula vizur vyakula vya kuimarisha kinga ya mwili kaa miezi miwili au mitatu then kapime hizo cd4 zako utaambiwa huna chochoteWadanganye hao hao. Binafsi nimezika watu wengi waliogua HIV AIDS. Tena waliteseka sana ukizingatia kulikuwa hakuna ARV kipindi cha miaka ya tisini mwishoni. Usiamini kila unachokiona kwenye internet.
Dah jamaa may be zile harakati zake za kufunua yaliyo jificha.Huyo jamaa nahisi ka RIP kwani ni muda mrefu sana haonekani humu
Inawezekana uko sahihi ofcoz kuna utata katika kuuelewa kitu kinachoitwa UkimwiUkiona mtu kapimwa kaambiwa ana virusi vya ukimwi ujue sio kweli aidha ana ugonjwa mwingine unaomsumbua cha msingi usipanic ukikutwa nao nenda hospital nyingine fanya chek up ya mwili wako vipimo amin nakwambia lazima utakutwa na ugonjwa mwingine mfano tb,malaria,homa etc maana haya magonjwa pia huusika na kushusha kinga ya mwili baada ya hapo tibu tatizo husika then kula vizur vyakula vya kuimarisha kinga ya mwili kaa miezi miwili au mitatu then kapime hizo cd4 zako utaambiwa huna chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah hapa ndio utaona umuhim wa Deception sjui alienda wap tu. Lakin lifecoded naye aweza tusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa chizi kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iran ngoma nje nje
Na TEGO ndio liko hapo, ukiangukia tu kwenye random sample yao umekwisha....[emoji12][emoji12][emoji12]Kapime kwanza UKIMWI halafu ndio tutakuelewa...
Mkuu mbona unajijibu mwenyewe!Hakuna kitu kama hicho nilishatembea na wanawake waathirika si chini ya 40 na hamna kitu seuze hao kumi???
Sent using Jamii Forums mobile app