mathewa
JF-Expert Member
- Sep 5, 2012
- 784
- 1,180
Hakuna hospital yenge wodi kwa ajili ya waathirika.Nenda hospital mkuu kwenye wodi ya waathirika af uulize kinachowasumbua ni kitu gani wakati hakuna ngoma...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna hospital yenge wodi kwa ajili ya waathirika.Nenda hospital mkuu kwenye wodi ya waathirika af uulize kinachowasumbua ni kitu gani wakati hakuna ngoma...
Soft sex ikoje? Samahani lakiniAcha ulongo wewe ? Ulitembea nao barabarani labda. Hapa ninamaanisha kufanya nao mapenzi. Hard sex.
Nielimishe mkuu.. ina maana waathirika wanachanganywa na wagonjwa wengine ?
Kuna uwezekano kuwa UKIMWI ni man made na kuna viashiria vingi tu vinaniambia hivyo....Nenda Jombe au Kahama au Maganzo katembee na wanawake kumi tofauti bila condom halafu ukae ndani ya miaka 5 utaona kama HIV ipo ama la.
Wewe ndo huelewi mpaka kaangalie interview za watu wa mwanzo kabisa maprofessa waliogundua huyo kirusi wa ukimwi mwenyewe anasema huyo kirusi hayupomwalimu nyerere alisema moja ya adui yetu mkubwa ni ujinga,, samahan mtoa maada nadhan unaye huyu adui ,, na nakushauri usipende kujarbu kuaminisha watu kwa kitu usichokijua na kuwa na utaalam nacho'''
UKIMWI unaweza sababishwa na vitu vingi sana na sio VVU pekee na VVU ndo kwa wakati wa sasa inasababisha hyo upungufu wa kinga mwilin kwa kushambulia kinga za mwili;;;
hao wa dudu huwa wanapimwa maabara kuangalia wapo kiwango gani mwilin mwako
(viral load ) na wa mtu alie na virus itaonyesha asienavyo haionyeshi hao viral load ,, nakuuliza km ulisikia wapi kuwa HIV hawapo? , kiufupi ni mdudu anaeonekana kweny kifaa kinaeitwa electron microscope na hyo sababu huwa ni wadogo sana kuonekana kwenye microscope za kawaida km wadudu wengne
my take usitumie ujinga wako kupotosha watu tafuta wataalam wakuelmishe kwanza ndo maana kukawepo na shule ,,,,,
Kirusi cha VVU kinafananaje mkuu???Kuna VVU yaani Virusi Vya Ukimwi, na kuna UKIMWI yaani Upungufu wa Kinga Mwilini.
Watu huambukizana VVU,Virusi hivyo hushambulia chembe chembe za damu, seli nyeupe, zinazopambana na vijidudu viletavyo magonjwa vinavyoingia mwilini.
Ulinzi wa mwili unapopungua, mtu hupata magonjwa nyemelezi ambayo mtu ambaye hana VVU hawezi pata. Ikifikia hii hatua mtu huwa na UKIMWI.
Ndio maana wanasema sio wote wenye VVU wana UKIMWI.
Watu huambukizana VVU sio UKIMWI. Dawa wanazopewa wenye VVU ni kupunguza kasi ya kuzaliana virusi vya VVU sio kutibu UKIMWI.
VVU vipo na UKIMWI upo,acha kusikiliza hizo video za kuokoteza youtube. Ukiupata ndo utajua upo au haupo.
Tembelea hospitalini utajifunza mengi kwa maneno na kwa kuona walioupata.
Shukrani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo huelewi mpaka kaangalie interview za watu wa mwanzo kabisa maprofessa waliogundua huyo kirusi wa ukimwi mwenyewe anasema huyo kirusi hayupo
Kuna siku moja niliandika hivi:
"Sasa jiandae vyema na umsikilize kwa makini kabisa neno baada ya neno(usiruke neno) huyu mgunduzi wa HIV anachosema hapa.Narudia,huyu anayesema hapa ndiye mgunduzi wa HIV.Yaani ni 'mungu' wa wale wanaoamini katika dini ya VVU/Ukimwi.Natarajia kwamba hakuna mtu yeyote duniani atakayepinga maneno yake;msikilize hapa chini;
"You can be exposed to HIV many times without being chronically infected,our immune system will get rid of the virus within few weeks if you have good immune system" Na hata ukimfuatilia Prof.Duesberg(virology machine) anayepinga kuhusu HIV naye alishasema hivihivi.Huyu mungu wao anathibitisha tu maneno ya Duesberg ambayo mwanzo aliyakataa,sasa hivi anaona aibu.
Halafu endelea kumsikiliza anazungumzia matatizo halisi yanayotusumbua hasa katika nchi za afrika.
1.Nutrition/misosi
2.Oxidative stress;Hii nitaizungumzia kwa undani baadaye
3.Clean water
Halafu anasema "their immune system doesn't work well already even if they are not infected with HIV",maana yake ni kwamba, watu wanakuwa na ukimwi hata kabla ya kuingiwa na VVU.
Anaendelea kushauri njia za kupunguza maambukizi ya HIV huyu feki ambazo ni;
1.Nutrition
2.Proper antioxidants
3.Hygiene measures
4.Fighting the specific infection(tusisingizie HIV,tutibu tatizo halisi)
Anaulizwa:"If you have good immune system then your body can get rid of HIV?"
Anajibu:Yes.
Ooooh very interesting!!! au mimi naota?Hebu sikiliza wewe mwenyewe.
Anaendelea kusema tena kwamba;"This is important knowledge which is completely neglected,people always think of drugs and vaccines"
Na mwisho yeye mwenyewe anakubali kwamba alichokisema ni tofauti na kile alichosema kipindi cha nyuma,yaani vinapingana.Huyu jamaa ameingizwa kwenye kundi la watu wenye roho mbaya bila kupenda,sasa roho yake inamsuta na anaamua kusema ukweli.Huyu ndiye mgunduzi wa HIV feki,Robert Gallo alimuibia tu data na yeye ndiye katangazwa kwanza.Walichokigundua hata wenyewe wanajua kwamba hakisababishi Ukimwi,ni njaa tu ndio inawasumbua.
Haya sikiliza sasa;
"
Pamoja na hayo yote,hakuna virus anayesababisha ukimwi.Watu wanashindwa tu kuunganisha dots za maelezo niliyotoa kwa kuwa labda ni mengi sana na hayako kimpangilio kutokana na mjadala ulivyo.Hata wenyewe waliogundua huyo HIV feki wanajua kwamba HIV hasababishi ukimwi na ndio maana kuna wakati wenyewe kwa wenyewe wanapingana.Nitakuleteeni video nyingine inayoonesha kwamba wanapingana halafu ninyi wenyewe muamue.
Na ndio maana huyu mgunduzi alikubali kusema tu hayo lolote na liwe maana ndio ukweli wenyewe.Wengine wanasema HIV peke yake hawezi kusababisha ukimwi,anahitaji co factors,ilihali wengine wanasema HIV peke yake anaweza kusababisha ukimwi bila co factors,nitawaleteeni hiyo video.Unaona sasa penye ukweli uongo hujitenga?
Watu wanaogopa ukimwi kwa sababu ya kasumba tu,neno hili limewaingia vichwani mwao kwa kurudiwa mara kwa mara huku wakioneshwa video za kutisha za wagonjwa bila kujali uhalisia kwamba mgonjwa alikuwa anaumwa nini hasa.Watu wanaogopa kitu ambacho kilikuwapo tangu kabla ya kutangazwa kwa HIV,eti kwa sababu wameambiwa HIV anasababisha ukimwi ndio wanaugopa sasa,kumbe ulikuwapo tangu zamani na hautishi na unatibika kirahisi na wakati mwingine unaondoka wenyewe bila ya wewe kujijua,ukibalisha lifestyle tu uko poa.
Sasa Je,
1.Kuna daktari hapa kwetu anaweza kukwambia kama unaweza kuwa na HIV(feki) lakini kinga ya mwili wako inaweza kumdhibiti na kumtoa kama alivyosema huyu mgunduzi?Vinginevyo wapinge kwamba huyu sio mgunduzi.
2.Huyu mgunduzi anakwambia "people always think of drugs and vaccines" anaposema drugs anamaanisha ARVs kwa maana ndizo zinazotumika kwenye AIDS.Na maana yake nyingine ni kwamba,huwezi kuwa na HIV kama kinga yako iko safi.
Sasa kama mnatakata kujithibitishia wenyewe,muulize daktari yoyote bongo kama anaweza kukubali hayo aliyosema mungu wake.Hapo ndipo utakapoona kwamba kasumba ni kitu kibaya sana.
Ndio sisi tulivyo,tunakimbia HIV tunakimbilia ARVs ambazo ndizo mziki mnene wenyewe.Hivi vitu watu hawawezi kuvielewa mara moja mpaka kwanza wajue historia ya medicine na viwanda vya madawa ikoje.Hapo ndio watajua kwamba watu hawana masikhara kwenye biashara.
Mgunduzi mwenyewe anakiri seuze wewe mwenzangu wa huku tandale?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna daktari yyt aliwahi kukuonesha kuwa huyu ndiye virus?Nenda hospital mkuu kwenye wodi ya waathirika af uulize kinachowasumbua ni kitu gani wakati hakuna ngoma...
Hapo hapana mwenyezi Mungu,ni kwamba hakuna kitu kinaitwa HIV.Hii maada ni pana lakini sijui kwangu ni Mwenyezi Mungu au vipi nikiwa Kisangani DRC niliishi na shantel kwa miaka miwili akiwa ni mwathirika wa HIV na sikuwahi kutumia kondom lakini nilichomoka mzima, imetokea tena mwaka uliopita jijini Tanga nimedumu na mwathirika bila kujua kwa miezi miwili na kondom sikutumia lakini niko salama, muda mwingine naamini Mwenyezi Mungu aliniokoa labda hadi muda huu sielewi elewi ilikuaje.
hahaah ushawahi kwenda kwa daktari kupima malaria afu baadae akakuonyesha huyu ndio mdudu anaesababisha malaria? do sijui unafikiria kutumia nn au unajipa matumaini,Kuna daktari yyt aliwahi kukuonesha kuwa huyu ndiye virus?
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Isije kuwa watu wasiojulikana walifanya yake maana kwenye ule uzi jamaa ni shida sana na anaongea kwa FACT. Hizi biashara za watu ukileta ujuaji unaweza potea hivuhivi.Huyo jamaa nahisi ka RIP kwani ni muda mrefu sana haonekani humu
Leo ukaenda kupima na ukaambiwa umeathirika huchukui round CD4 zinashuka kwa kasi sana na hapo lzm uanze kuumwa magonjwa ya ajabu ajabu na Mwisho unaambiwa kumuepuka Israel tumia ARV. So ni kitu kinachoanza na psychology na kuna uhusiano mkubwa sana kati ya psychology na mfumo mzima wa kinga mwilini.Hakuna tunachoambukiZana but wazungu wanatuua kisaikolojia!very sad!!
Habari wanajamiiforum
Mods nawaombeni kwa nia ya dhati naombeni huu uzi ubakie hapa kwenyw jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.....kwani hapa ni jukwaa la ujumla hoja mchanganyiko...
Tuanze hivi.................
Unajua hii dunia biashara za makampuni makubwa zimekua haziishi
Toka lini Ukosefu wa kinga mwilini ukaambukizwa?
Toka lini ukose kinga mwilini ishuke badala ya kuambiwa ule vyakula vya kupandisha kinga unaambiwa meza dawa maisha yako yote
Haya mambo toka huu mwaka uanze nimeanza kuhisi ni biashara tu hapa
Hivi mimi niwe na upungufu wangu wa kinga ya mwili kwa kua nazembea kula vizur nikamwambukize mpenzi wangu ambaye anajijali na anakula mlo kamili na matunda?
Hakuna kitu kinachoitwa HIV dunia hii ukimwi upo tena kwa wazembe wa kutokula vizuri, lakini sio ukimwi wa kuambukizwa???
Utapiamlo wangu unaambukizwaje kwako?????ni mfano tu
Magonjwa mengi virus wake huonekana maabara huyu kirusi gani hajawahi kuonekana kwa macho???
Dawa za arvs nahisi ni biashara tu ya makampuni....
Tujiongeze kidogo
Karibuni tulijadili hili
My take: wale wenye mawazo sijui ukimwi ulitengenezwa maabara,huu uzi hauwahusu,wale wenye mawazo mgando kwamba ukimwi ni adhabu ya mungu huu uzi hautowahusu, watu wa theory za gizani pia hamuhitajiki...hapa tunataka tujadili hoja kwa hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahah, we kama una ndugu daktari muulize hivi virus anafananaje?Akikupa jibu nitagHivi si wanasema virusi kwa ujumla wake wana maumbo yanayobadilika badilika kila mara??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mkuu utaongezewa damu ambayo ina maradhi mbalimbali kama TB,malaria, Kansa, Kisukari nk na yote haya yanasababisha CD4 zishuke. So utakachoumwa sio AIDS utaumwa hayo magonjwa. NB,HAKUNA ugonjwa unaoitwa UPUNGUFU WA KINGA MWILINI.Kama uamini nenda hospital tafuta mwenye ukimwi akuongezee damu yake,baada ya mwaka rudisha uzi wako huu mkuu