Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

Dah Deception yupo wapi, jamaa Alikuwa hakosei kwenye mada tata kama hizi

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
We ulishawahi kusikia mtu kafa kwa ngoma (Ukimwi)

CC Zero IQ
We ushawahi kusikia mtu kafa kwa kugongwa na gari???..kinachomuua ni kugongwa na gari or madhara yanayotokea mwilini kwa kugongwa na gari??
 
Mfano wako bado sio toshelezi try again later

CC Zero IQ
 
Mkuu inaonekana hauna idea jinsi gani HIV kinafanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Idea uliyo nayo wewe ni hiyo ya KUKARIRI chuoni. Mfuatilie Professor Peter Deusberg Upate maarifa mapya. Huyu ni mtaalam wa VIRUS wa wakati wote toka dunia iundwe na anatuzo za Nobel.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Mfano wangu huwezi kuuelewa sababu wewe ni zero iq
umesema mfano mtu akigongwa na gari kinachomuua sio gari hapo nakukanusha kwa sababu kwangu gari ndio iliyomgonga na kumsababishia umauti, gari imeonekana kwa macho direct ikimgonga that's means gari ndio sababu kama ni ugonjwa basi tuseme gari ndio ugonjwa wenyewe na ndio source ya umauti wake,

ila UKIMWI hauwezi kukuua wewe kwa sababu ukimwi sio ugonjwa hakuna aliyewahi kuona virus wa ukimwi bali wakati wanapima wanacheki Viro load(sijui kama iko sahihi kwenye uandishi), ili kugundua kama una ukimwi kitu ambacho ata mgonjwa wa TB,au mwenye lishe duni anaekumbwa na homa za mara kwa mara kama akipimwa kwake itasoma Positive yaani ana Ukimwi wakati sio,

Sasa wakati unaugua sasa mpaka kufikia umauti wako Ugonjwa UKIMWI unaosemea unabaki kuwa ugonjwa tu wa kwenye daftari/makaratasi ila kiualisia mgonjwa ambae ni wewe utakuwa anasumbuliwa na magonjwa kama Kifua kikuu, maralia, typhoid, N.K ila sio UKIMWI na ata ikitokea umekufa basi utakufa na moja kati ya magonjwa hayo ilo sio UKIMWI Wenyewe unabaki kuwa myth.

Na ndio fact yenyewe, kipimo chenyewe cha UKIMWI kimeandikwa HIV antibodies test, Hizo antibodies hata mama mjamzito anaweza produce,Mgonjwa wa TB pia anaweza produce.Ni vitu vidogo sana sema mwafrika akikarrshwa kitu na mzungu kuja kumwelimisha kazi ipo.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
We ndo unamawazo mgando.
Kama ujui kufa chungulia kaburi

UKIMWI basically hauambukizi Bali virus vinavyosababisha UKIMWI (HIV) vinaambukiza

This has been proven for more than 2 dacades ago.

Nachokiona kwako una asili ya ubishi na ujuaji wa kishamba tu.

Unafikiri Madktari na akili zao zote watakua wanapiga kampeni kwa kitu kisicho exist?

HIV watu wameshakisoma na lots of scientist wamepata Phd na wengine wamekua maprofesor through this killing virus.

Acha kujitia upofu...fungua vitabu usome

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndio fact yenyewe, kipimo chenyewe cha UKIMWI kimeandikwa HIV antibodies test, Hizo antibodies hata mama mjamzito anaweza produce,Mgonjwa wa TB pia anaweza produce.Ni vitu vidogo sana sema mwafrika akikarrshwa kitu na mzungu kuja kumwelimisha kazi ipo.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Sijui ata kama amenielewa mkuu maana kuna viumbe wengine wana vichwa vigumu hatari

CC Zero IQ
 
Hapa kwetu tuna sampuli ambazo ni HIV POSITIVE.. ili kuprove unacho zungumza naomba nikupe offer ya kukuchoma sindano yenye hiyo sampuli ya CC 2 tu.. Kama upo tayar njoo PM ntakufuata ulipo Kwa gharama zangu.. Halafu baada ya muda utaleta hapa mrejesho.
Umewahi kumwona kirusi aenezaye UPUNGUFU WA KINGA MWILINI?
 
Tatizo hata kama huamini kama kuna ngoma nshu inakuja sasa watu wanachoambukizana ni kitu ganj ?

Kama kinachoua watu sio ngoma bali ni magonjwa mengine yanayotokana na upungufu wa kinga ya mwili... je tunaambukizana nini ?
Hoja fikirishi sana sana
 
umesema mfano mtu akigongwa na gari kinachomuua sio gari hapo nakukanusha kwa sababu kwangu gari ndio iliyomgonga na kumsababishia umauti, gari imeonekana kwa macho direct ikimgonga that's means gari ndio sababu kama ni ugonjwa basi tuseme gari ndio ugonjwa wenyewe na ndio source ya umauti wake,
ila UKIMWI hauwezi kukuua wewe kwa sababu ukimwi sio ugonjwa hakuna aliyewahi kuona virus wa ukimwi bali wakati wanapima wanacheki Viro load(sijui kama iko sahihi kwenye uandishi), ili kugundua kama una ukimwi kitu ambacho ata mgonjwa wa TB,au mwenye lishe duni anaekumbwa na homa za mara kwa mara kama akipimwa kwake itasoma Positive yaani ana Ukimwi wakati sio,
Sasa wakati unaugua sasa mpaka kufikia umauti wako Ugonjwa UKIMWI unaosemea unabaki kuwa ugonjwa tu wa kwenye daftari/makaratasi ila kiualisia mgonjwa ambae ni wewe utakuwa anasumbuliwa na magonjwa kama Kifua kikuu, maralia, typhoid, N.K ila sio UKIMWI na ata ikitokea umekufa basi utakufa na moja kati ya magonjwa hayo ilo sio UKIMWI Wenyewe unabaki kuwa myth.
CC Zero IQ
So unadai kuwa ukimwi hatuwezi kusema umemuua mtu sababu hauonekani...so ili kitu kimuue mtu ni lazima kionekane???..sasa nenda kashike nyaya za umeme zinazopitisha umeme ndo utajua kuwa kuna vitu havionekani na vina ua watu...na kama hujui kifo ni mechanism...typhoid,malaria na magonjwa mengine huwa hayamuui mtu moja kwa moja,bali hayo magonjwa yanasababisha baadhi ya organ za mwili kupata hitilafu kushindwa kufanya kazi na kumuua mtu....kwa mantiki hiyo uliyozungumza wewe hakuna ugonjwa hapa duniani unaomuua mtu...wewe unadai kuwa ili tuseme ugonjwa fulani umemuua mtu lazima uonekane...sasa namimi nakwambia ugonjwa wowote haujawahi kumuua mtu hapa duniani ndo mana mtu akiwa na let say wadudu wa salmonella typhoid hao wadudu wanaonekana but hawaui
 
Ok wewe umeshawahi kusikia kuna mtu kawaona hao wadudu wanaosababisha UKIMWI(HIV) kama ambavyo wanaonekana hao wa Salmonera unaosemea mkuu?

Ili tuseme kitu fulani kipo sio lazima kionekane...sometimes tunasema kitu kipo kwa kuangalia effects kinachozisababisha...ndo mana leo hii tunasema umeme upo ingawa hauonekani sababu tunaangalia effects za umeme...kuna ugonjwa wa kisukari..let say tatizo la sukari kuzidi mwilini,we ushawahi iona iyo sukari inayozidi mwilini...ebu nipe picha ya hiyo sukari na mimi niione???kumpima mtu kama sukari imezidi mwilini huwa wanaangalia nini???.....kwa hiyo tuseme hakuna ugonjwa wa kisukari sababu sukari haionekani...?????....virusi wa ukimwi ni wadogo sana so ni ngumu kuonekana but iyo haimaanishi kuwa hawapo...tunawapima kwa kuangalia effects zao na reactions ndani ya mwili
 
Kikombe cha Babu wa Loliondo na HIV AIDS ni utapeli mtupu..
 
Back
Top Bottom