Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

Natamani sana kuchangia ila sijuwi nianze wapi.
Ila ninachojuwa hiv hypotheses imejaa uongo wa karne.
Hiv/aids sio ugonjwa kama wengi tulivyoaminishwa.
Ili kirusi kiweze kiwe na sifa ya kusabbisha ugonjwa lazima awe katika tabia/sifa 4 due to Koch’s postulate

iPhone 7plus
 
Alisema kabisa kwenye interview kuwa kama watamuua sababu ya hiyo documentary kuhusu tiba ya hiv ya dr SEBI basi mnaobaki msimwangushe...yaani muendelee atakapoishia.......
Screenshot_2019-04-01-16-17-24.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upungufu was kinga husababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo virusi vya HIV. HIV vipo siyo jambo LA kufikirika ni real. Usidanganyike kufikiri sana nje ya hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna HIV. View attachment 1060156

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Those like you who have never seen reality of HIV and get blinded by fake information from unreliable sources they are frog as you have said above. Go to Makete Iringa you can witness hundreds of thousands of graves, you can witness with your own eyes how many families once suffered because of HIV. Its well known how one can contact this deadly virus, I know many people who are still suffering from this deasease. And lucky enough I know someone who had the same kind of thinking like you and now he is into it. Never ever think otherwise, HIV is real and if you don't believe it you better remain quite don't mislead others.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi ni kuwa upungufu wa kinga husababishwa na mambo mengi tu na magonjwa karibu yote yanasababisha upungufu kwa kiwango fulani .
HIV ndiyo labda useme kimetengenezwa kwa kuwa chenyewe huwa kinasaidia kupunguza kinga kwa spidi kubwa mno kitu ambacho hupelekea ugonjwa kama kikohozi au mafua kukuondoa lakini UKIMWI unasababishwa na mambo mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Those like you who have never seen reality of HIV and get blinded by fake information from unreliable sources they are frog as you have said above. Go to Makete Iringa you can witness hundreds of thousands of graves, you can witness with your own eyes how many families once suffered because of HIV. Its well known how one can contact this deadly virus, I know many people who are still suffering from this deasease. And lucky enough I know someone who had the same kind of thinking like you and now he is into it. Never ever think otherwise, HIV is real and if you don't believe it you better remain quite don't mislead others.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupa hiyo Article ni ndefu sana,sijajua umetumia muda gani kuisoma na kutafakari yaliyomo humo then kuja kutoa comment hapa. Yani unataka kusema wewe unauelewa sana wa mambo ya HIV kuliko bwana Peter Deusberg professor na mtaalam wa Virus toka dunia iundwe?Story zako za makete sijui wapi ukisoma hiyo Article wameelezea vizuri sana. Unapotaka kujifunza kitu,Assume kama hujui kitu hapo utaelewa ila ukiingia darasani na madude yako kichwani hakika huwezi zingatia kile unachofundishwa. Ungekua na Hoja za mcng kama ungekuja na mapungufu ya hiyo Article lkn sio hizo hisia zako.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Kinachoambukizwa kirusi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaambukizana magonjwa mengine tu lkn hakuna sehem UPUNGUFU WA KINGA MWILINI ukaambukizwa. Ukienda hospital usiseme nipime HIV/AIDS, omba upimwe Kisukari, TB,Malaria nk. Huwez kuwa unaumwa then wakasema huumwi kitu basi tukupime HIV.LAZIMA kuna kitu tu utakua unaumwa na hicho kitu ndio ukitibu.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Wadanganye hao hao. Binafsi nimezika watu wengi waliogua HIV AIDS. Tena waliteseka sana ukizingatia kulikuwa hakuna ARV kipindi cha miaka ya tisini mwishoni. Usiamini kila unachokiona kwenye internet.
Internet imejaa taarifa nyingi tu ambazo si za kweli, sasa kazi ni kwa msomaji au mwangaliaji kutumia akili yake kung'amua taarifa ipi ya kweli na ipi si ya kweli.

Kuna watu ambao huamua kuanzisha uzushi wa aina fulani kwa malengo binafsi au tu kuleta taharuki na kuchapa katika vitabu na internet.
 
Fake kwamba ukipata haufi, au fake kwamba hauambukizi ? Nakuacha na Food for thought kuhusu aliyosema Obama...

"You have to believe in facts," said Mr Obama, "without facts there is no basis for cooperation.

"If I say this is a podium and you say this is an elephant, it is going to be hard for us to cooperate."
 
Na facts ziko hapa View attachment GREATEST LIE OF 21ST CENTURY.pdf

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Na facts ziko hapa View attachment 1060215

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Sorry sijasoma hizo so called facts nipo busy kidogo,.....

A rose by any other name would smell as sweet. [Shakespeare]

ila swali langu hio kitu so called fake je Haisababishi vifo na haiambukizi ? Hata tukiita kwa jina lolote lingine "A pig by any other name its still a Pig"
 
Soma na naamini hutarudi kuuliza swali lolote hapa labda uwe na ubishi wa simba na yanga au CCM na CDM.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Tunaambukizana magonjwa mengine tu lkn hakuna sehem UPUNGUFU WA KINGA MWILINI ukaambukizwa. Ukienda hospital usiseme nipime HIV/AIDS, omba upimwe Kisukari, TB,Malaria nk. Huwez kuwa unaumwa then wakasema huumwi kitu basi tukupime HIV.LAZIMA kuna kitu tu utakua unaumwa na hicho kitu ndio ukitibu.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Mkuu inaonekana hauna idea jinsi gani HIV kinafanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... kama ukimwi unaambukizwa kwa njia ya damu, wenye VVU wananyoa saluni zipi?

... kuna mwanaume leo hii angekuwa ni salama?
 
Back
Top Bottom