Virusi na UKIMWI ni ugonjwa feki? Kuna kitu sielewi...

Wadanganye hao hao. Binafsi nimezika watu wengi waliogua HIV AIDS. Tena waliteseka sana ukizingatia kulikuwa hakuna ARV kipindi cha miaka ya tisini mwishoni. Usiamini kila unachokiona kwenye internet.
Hao walikufa UKIMWI uliosababishwa na mambo mbalimbali mfano TB yenyewe inasababisha UKIMWI, Malaria, Kisukari, kansa na magonjwa kibao yanasababishwa UKIMWI.Sijui kama unaelewa. View attachment GREATEST LIE OF 21ST CENTURY.pdf

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Dah jamaa may be zile harakati zake za kufunua yaliyo jificha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe nimehisi hivyo,maana hata Thabo Mbeki ndicho kilichomuondoa madarakan. Fuatilia misimamo yake you tube kuhusu HIV/AIDS.

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Na TEGO ndio liko hapo, ukiangukia tu kwenye random sample yao umekwisha....[emoji12][emoji12][emoji12]
Nakubaliana na wewe,naamini vile vipimo kuna namna vimesetiwa, Ukiangua kwenye anga zao kinasoma positive. Kile kipimo hakipimi HIV bali kinapima HIV antibodies ndio maana hakuna daktari anaweza kukushuhudia kuwa amewahi muona VIRUS

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Hivo VVU ushawahi viona kwa macho?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
we jamaa ila sishangai maana hata leo kuna watu huwa wanakuja na fact kuwa hakuna mungu na kuna viumbe wanaamini kweli na nilichokugundua had sasa yaani unatumika tu ka spika kwenye redio kutoa sauti undani wa kitu hukijui vyovyote , tembelea hospitali yeyote ukaeleweshwe kwanza ndo uje uweke uongo na upotoshaji wako,,

subur CD4 zikushuke ndo uamin kama kuna ngoma ama la , jipe matumaini na kujifariji
 
Hivo VVU ushawahi viona kwa macho?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
na

na ww nikuulize mycobacterium tuberclosis anaesababsha TB ushawahi kumuona kwa macho?
 
Mtoa mada ana akili kubwa kuliko wewe. Nikuulize tu,Ushawahi muona huyo VVU Kwa picha, macho au kuna daktari aliwahi kukuonesha kuwa huyu ndiye virus?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Nenda Jombe au Kahama au Maganzo katembee na wanawake kumi tofauti bila condom halafu ukae ndani ya miaka 5 utaona kama HIV ipo ama la.
Mimi hao wa huko Maganzo, Ushirombo na Kahama nilishakula uroda bila kondomu, hao watano nilikuwa napiga kwa siku moja tu, zaidi ya miaka kumi iliyopita.

Ulishawahi kufika kahama? Unapafahamu BIJAMPOLA? Hayo ndio yalikuwa maeneo yangu. Hadi leo niko negative!
 
Hivo VVU ushawahi viona kwa macho?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
We ni mjinga saana.. Kwa hyo Malaria parasites umewahi kuwaona Kwa macho?
 
Mkuu mbona unataka kupiga ramli wakati vitu viko wazi?Huo UKIMWI ni ugonjwa gani?Kuna daktari aliwahi kukuonesha kuwa huyu ndiye virus?Unaijua TB,Kisukari na magonjwa mengine kibao ambayo yanasababisha kinga iwe chini?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
We ni mjinga saana.. Kwa hyo Malaria parasites umewahi kuwaona Kwa macho?
Naleta parasite anayesababisha Malaria ambaye ni plasmodium. Na wewe mlete huyo parasite anayeitwa Virus ambaye anasababisha UKIMWI mwisho uje ueleze Mimi na wewe nani mjinga?

We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
 
Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na kitu kinachofikirisha kidogo.
1. Karibu nusu ya virus wote waliowahi kuibuka na kusumbua duniani wameanzia Africa hasa maeneo ya central africa na Congo.
2. Virus wengi wanahusishwa na wanyama kama nyani na sokwe ambao wanapatikana kwa wingi maeneo ya Afrika ya kati na misitu ya Congo
3. Miaka ya 1930 - 1960s, tafiti nyingi zilikua zikifanyika kwa kuwahusisha wanyama kama nyani na sokwe ili kugundua dawa za magonjwa ya binadamu. Hizi zilihusisha kuwachoma viini vya magonjwa na kisha kujaribu kuwatibu
5. Sasa angalia magonjwa mbalimbali tuliyo nayo leo na miaka yalipogunduliwa/ibuka:
- Dengue 1943
- Hepatitis B 1963
- Lassa 1966
- Marbug 1967
- Ebola 1976
- HIV 1983
 
.
Nani amekwambia condom inazuia UKIMWI??
.
Nataka ujiulize swali dogo, mauzo ya condom yanaongezeka siku hadi siku ikimaanisha hata matumizi yake yanaongezeka. Iweje matumizi ya condom yaongezeke na maambukizi ya UKIMWI yaongezeke?? Kuna shida mahali.... Labda mpira hauzuii gonjwa janga au watu wananunua mipira kama fashion ila wakizoeana kama wenza hawatumii tena.
.
Sidhani kama condom zinapigiwa debe nchi za uarabuni kama huku kwetu third world countries, na maambukizi ya UKIMWI yako chini.
.
Ukweli mchungu: Dawa ya kupunguza maambukizi ni KUACHA ZINAA kwa Waislamu au UZINZI kwa Wakristo.
Acha ulongo wewe ? Ulitembea nao barabarani labda. Hapa ninamaanisha kufanya nao mapenzi. Hard sex.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh watu mnabishia HIV virus, ambavyo vinashambulia cell za mwili/ kinga, kwamba ni uongo , Acheni kupotosha watu wasije watiana hovyo mwishowe wavipate.

Ukimwi ndo sio ugonjwa, ila HIV virus husabisha ukimwi, na kuwa na lishe duni.

But HIV virus rNA, Ukivipata mwilini ndo utajua nn maana ya zile dawa za Ant retroviral drugs kwa nn wanameza.

N:B, WHO, na serikali sio wajinga kama ww adi watoe pesa yote kununua na kugawa bure.

Captopril
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…