Mkuu Misuli,hivyo vyote vikikuandama kwa wakati umoja ndipo unapata UKIMWI,unachoangaika nacho hata hakieleweki,kwasababu magonjwa nyemelezi baada ya kinga yako ya mwili kushuka ndio yanayo kuawa na ndiloo jibu la kisayansi tatizo lako nini?.Hapo mkuu utaongezewa damu ambayo ina maradhi mbalimbali kama TB,malaria, Kansa, Kisukari nk na yote haya yanasababisha CD4 zishuke. So utakachoumwa sio AIDS utaumwa hayo magonjwa. NB,HAKUNA ugonjwa unaoitwa UPUNGUFU WA KINGA MWILINI.
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Pata elimu ya bure hapa,Usipoelewa Hapa utakua una Shida. Hakuna kitu kinaitwa HIV.View attachment GREATEST LIE OF 21ST CENTURY.pdfNimezika ndugu na jamaa wengi sana waliofariki kwa sababu ya HIV,wengina na watoto wao waliozaliwa HIV+ wakafuata. Waliobahatika waliacha watoto wakati ARVs ndiyo zinaingia wako hai mpaka leo. Unaweza kuwa na conspiracy theories kibao kuhusu HIV lakini ukweli ni kwamba it is real na zishukuriwe ARVs kwa kuwapa watu second chance ya kuishi kwa furaha na amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali mkuu nieleweshe... kwa hiyo wale watu hawaumwi ngoma sababu haipo sio ?Kuna daktari yyt aliwahi kukuonesha kuwa huyu ndiye virus?
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
Hizo ni propaganda tu za haohao. Unajua nini kilimpata THABO MBEKI baada ya kuwa kinyume na hizi story za HIV/AIDS?Kama mtu ukipata muda tazama hii documentary inaitwa FIRE IN THE BLOOD toka YouTube uone jinsi mataifa maskini yalivyopambana kuhakikisha yanapata access ya ARVs kwa bei nafuu ili kuokoa kizazi kilichokua kinaangamia .
Kuna dogo toka south Africa marehemu Nkhosi Johnson ambaye alienda mpaka UN general Assembly kuhutubia na kuomba mataifa tajiri yakubali ili Generic ARVs ziweze kuzalishwa na mataifa masikini kuokoa wahanga kama yeye.
Please usipotoshe watu hapa wakaanza kufanya ngono zembe, wakaacha kunywa dawa kisa hizo points zako dhaifu. Sio fair hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wanaumwa matatizo mengine kabisa. Kawapime TB,Kisukari na magonjwa mengine uone kama hawana. Shida kila ugonjwa now unakua associated na HIV hata kwenye mitandao wamejaza hisia hizi.Jibu swali mkuu nieleweshe... kwa hiyo wale watu hawaumwi ngoma sababu haipo sio ?
Sasa wanaumwa kitu gani i mean wanaambukizana kitu gani ?
Je kwa hiyo imani yako unaweza kulala na muathirika sababu unaamini hakuna ukimwi ?
Hakuna kitu kama hicho hao waliumwa magonjwa mengine tu wakafa mfano tb dalili zake na kila kituNimezika ndugu na jamaa wengi sana waliofariki kwa sababu ya HIV,wengina na watoto wao waliozaliwa HIV+ wakafuata. Waliobahatika waliacha watoto wakati ARVs ndiyo zinaingia wako hai mpaka leo. Unaweza kuwa na conspiracy theories kibao kuhusu HIV lakini ukweli ni kwamba it is real na zishukuriwe ARVs kwa kuwapa watu second chance ya kuishi kwa furaha na amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wako ni upi kwa mtu ambae vipimo vinaonesha ana ngomaWale wanaumwa matatizo mengine kabisa. Kawapime TB,Kisukari na magonjwa mengine uone kama hawana. Shida kila ugonjwa now unakua associated na HIV hata kwenye mitandao wamejaza hisia hizi.
We think too small, like the frog at the bottom of the well. He thinks the sky is only as big as the top of the well. If he surfaced, he would have an entirely different view.
wewe unasema 20 wakat nimetembea na wanawake si chini ya 40?Km unabisha Fanya utafiti wa kutembea na makahaba ishirini afu ukapime ujue km UKIMWI upo au haupo? Usisahau kutuletea mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo cha kufanya cha kwanza kabisa ni kutopanic cha pili kutokurupuka kumeza arv's zina madhara makubwa kama zinapandisha cd4 kama wanavyodai hata mbegu za mlonge hupandisha cd4Ushauri wako ni upi kwa mtu ambae vipimo vinaonesha ana ngoma
Picture za HIV rNA, hizo antena zinagusa kinga za mwili zikisha ruhusu tu anaingia ndani ya cell na kuwa replicated, ila cell ikigoma tu kufunguka atabaki ivyo ivyo bila kujizalisha mwenyewe.
Ila virus zinaweza kuingia mwilini zikashindwa kujizalisha endapo cell za mwili zitagundua ni antigen, or kitu kigeni, ila cell inaruhusu kimakosa tu kuingia ndani kwa sbb ni rNA ndani ya cell,View attachment 1057457View attachment 1057458
Captopril
Unaijua biashara ya kuuza dawa za ar v wewe au unaongea hii biashara ipo kwenye top za biashara zinazoingiza mabilioni ya dollar duniani...Endelea kujifariji tu kuwa unasaidiwa au wanaloose pesaDuuuh watu mnabishia HIV virus, ambavyo vinashambulia cell za mwili/ kinga, kwamba ni uongo , Acheni kupotosha watu wasije watiana hovyo mwishowe wavipate.
Ukimwi ndo sio ugonjwa, ila HIV virus husabisha ukimwi, na kuwa na lishe duni.
But HIV virus rNA, Ukivipata mwilini ndo utajua nn maana ya zile dawa za Ant retroviral drugs kwa nn wanameza.
N:B, WHO, na serikali sio wajinga kama ww adi watoe pesa yote kununua na kugawa bure.
Captopril
Wana Sayansi hawabishani na mwanasiasa siku zote, we endelea na siasa sayansi iache ilivyo.He he heee!
Walichofanya ni sawasawa na wewe kuchora picha ya 'embe' halafu chini yake ukaandika neno 'chungwa'.Kila mtu anajua kwamba embe sio chungwa kwa kuwa embe halina sifa za chungwa,ila wewe umeamua tu kwa ridhaa yako kutokana na sababu unazozijua wewe kuliita embe chungwa.
Pia ukiniita mimi ng'ombe haina maana kwamba mimi ndio nimeshakuwa ng'ombe,hii ni kwa sababu mimi sina sifa za ng'ombe.
Hivyo basi,HIV ni jina tu na si zaidi ya hapo,lakini jina hili limeshavuruga akili za watu na watu wanaamini kwamba HIV yupo kweli na anaua na hana tiba na anaambukizwa kwa njia ya ngono,hii inatokana na kampeni nzito za muda mrefu zinazoambatana na picha za kutisha pamoja na ujanja wa hali ya juu walioutumia wale waliotudanganya.Yaani hata kama wewe ni HIV+ halafu mkeo ni HIV- na mmekaa kwa muda mrefu na mmezaa watoto na watoto wenu ni HIV- lakini bado utaendelea kuamini kwamba HIV yupo na anaambukizwa kwa njia ya ngono,hivi ndivyo akili za watu wengi zilivyorubuniwa kupitia kampeni hizo.
Hata kama utaona kwa macho yako mikanganyiko inayotokea mitaani na kwenye vituo vya afya,bado akili yako itaendelea kufikiria vilevile kama ulivyoambiwa kwenye kampeni hizo.
Ndio maana sisi tunasema ,HIV/AIDS is a MINDSET disease',na hakuna ugonjwa kama huo kiuhalisia,watu wanaumwa/kufa kwa magonjwa yaleyale ya zamani,na magonjwa hayo yote yana tiba zake,hakuna jipya.
Asikwambie mtu,ukijua ukweli huu utajisikia raha sana,utajiamini sana na hutaogopa kitu.Hata ukiona mtu wako wa karibu anaumwaumwa sana hutakuwa na hofu kwasababu utajua jinsi ya kumtibu na ataendelea na shughuli zake.
Ila usipojua haya,utakuwa mtumwa wa kudumu katika maisha yako,wewe utakuwa unashtukashtuka hata kama hujashtuliwa,he he heee,hatari sana hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
kijana usihadaike na hizo video za youtube, AIDS is real.Hakuna kitu kama hicho nilishatembea na wanawake waathirika si chini ya 40 na hamna kitu seuze hao kumi???
Sent using Jamii Forums mobile app
najaribu nikuelewe point yako ila bado naona haueleweki, kwanza ukimwi sio ugonjwa hilo usisahau,He he heee!