Nafikiri wana Chadema kwa sasa tutakua upande wa serikali maana hili la kufungwa mipaka tulilitamani sana.
Loser ni Kenya hapa...Kenya ndio nchi ya kiafrika yenye uwekezaji mkubwa zaidi Tanzania.
Uwekezaji wa Kenya ni zaidi ya Trillion 2 za kitanzania hapa Tanzania.
Losers sio Kenya ni Tanzania.
Basi sawa mambo ndo yameanzaMimi hapo sawa kabisa
MONEY STOP NONSENSE
Mwenye amri ya kufunga mpaka ni Raisi tu, hivyo amini hiyo amri imetoka kwa Raisi, Magufuli hajatamka yeye ili Isionekna anashindana na Kenyata.Siyo macho yako mkuu, nimemsikiliza rais mwanzo hadi mwisho. Kama rais hana taarifa ya hilo.......ooh!! Ummy atakuwa matatani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndiyo anayezalisha bidhaa zake nchini kwake na kuzileta humu Tanzania! Je, Tanzania itaathirika sawasawa na Kenya kibiashara?Mwekezaji labda kama anatengeneza hapa ndani na kuuza humu humu
MONEY STOP NONSENSE
Wema uko wapi mzee mwenzangu?Ni jambo jema!
Wewe mwenye A ya uchumi ndio utusaidie sisi akina msukuma.😁 😁 😁 Una sifuri ya uchumi wewe bila shaka.
Sasa si useme atapoteza nini.?[emoji16] [emoji16] [emoji16] Una sifuri ya uchumi wewe bila shaka.
Wewe unachojua ni kutamka bwashee tu. Hayo mengine yapo juu ya kichwa chako. Labda chakubanga hapo lumumba utaelewana naye, Jaribu kuwasiliana naye.Wewe mwenye A ya uchumi ndio utusaidie sisi akina msukuma.
Narudia tena...... Tanzania itapoteza nini?
Wewe lazima chupi uivae kichwani leo.Hahahahaaaaa hahahahahaaaa hahahahaaaaa. Kwani yule jamaa kule Chato kasemaje? Huu utawala Mungu atuvushe nao salama!
Naona hajataka kuonekana anashindana na Kenyata...ndio maana kampasia da Ummy .Ingependeza zaidi kama jiwe mwenyewe ungetoa tamko hili.
Ingependeza pia mkuki kwa nguruwe uwe ule ule na kwa binadamu pia. Wote kabisa (Rwanda, Uganda, Zambia nk), wote maji ga nyanja!
Hii itaharibu uchumi wa nchi hizi.Si unajua Magufuli ni mzee wa jino kwa jino.
🤣 🤣 🤣 Nimeshamjibu mhusika.