Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Kenya ndio nchi ya kiafrika yenye uwekezaji mkubwa zaidi Tanzania.

Uwekezaji wa Kenya ni zaidi ya Trillion 2 za kitanzania hapa Tanzania.

Losers sio Kenya ni Tanzania.
Loser ni Kenya hapa...
unatumia hesabu gani kuelewa hili!!?
 
Aye sasa kumekuchaaa komeo moja kofuli mbili sasa sijui mjanja ni alieanza kuweka kofuli au ni aliemhiga mwenzake!!!

Korona inaua tujikinge!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo macho yako mkuu, nimemsikiliza rais mwanzo hadi mwisho. Kama rais hana taarifa ya hilo.......ooh!! Ummy atakuwa matatani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye amri ya kufunga mpaka ni Raisi tu, hivyo amini hiyo amri imetoka kwa Raisi, Magufuli hajatamka yeye ili Isionekna anashindana na Kenyata.

Ummy Hana jeuri ya kutoa amri kama hiyo hata siku moja.
 
Wewe mwenye A ya uchumi ndio utusaidie sisi akina msukuma.

Narudia tena...... Tanzania itapoteza nini?
Wewe unachojua ni kutamka bwashee tu. Hayo mengine yapo juu ya kichwa chako. Labda chakubanga hapo lumumba utaelewana naye, Jaribu kuwasiliana naye.
 
Ingependeza zaidi kama jiwe mwenyewe ungetoa tamko hili.

Ingependeza pia mkuki kwa nguruwe uwe ule ule na kwa binadamu pia. Wote kabisa (Rwanda, Uganda, Zambia nk), wote maji ga nyanja!
Naona hajataka kuonekana anashindana na Kenyata...ndio maana kampasia da Ummy .
 
Back
Top Bottom