Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Sisi Ndio walaji

Tukikataa kununua ma blue band,Colgate,nido kutoka kenya atayapeleka wapi zaidi ya kupnguza uzalishaji viwandani
Sasa hivi kila kitu kinatengenezwa hapa Tanzania iwe dawa ya mswaki au sabuni za unga. Wasidhanie ni miaka ya 1980's baada ya vita.
 
Naona hajataka kuonekana anashindana na Kenyata...ndio maana kampasia da Ummy .
Hili ni suala la prof wa jalalani sio Ummy. Kamwe Ummy asingethubutu kuzungumzia issue ya mpaka wakati hata issue ya corona tu amepigwa limit.Kasogezewa zigo lakini kila kitu kinaeleweka. Tusijerudi 1977.
 
Siyo macho yako mkuu, nimemsikiliza rais mwanzo hadi mwisho. Kama rais hana taarifa ya hilo.......ooh!! Ummy atakuwa matatani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo jambo ni kubwa sana mkuu kufunga mpaka Mwenye mamlaka ya kufanya ivo ni Rais tu ni kama kutangaza hali ya hatari anaweza kufanya ivo ni rais au kutangaza vita, Amini hilo jambo limetoka kwa Mkuu wa nchi hapo ummy ametumika kama messenger tu ili kuondoa contradiction mana jana tu Kenyata ameongea kuhusu izo land borders.
Jana nilisema wacha tuendelee na assessment kenyata atafungua tu hizo borders within few days ahead, Japo huu uamuzi wa kufunga leo umekuja haraka ila hauna shida kenya bado tunasehemu nyingi za kuwakaba, Kenyata ameona convid ndio Kichaka cha kujifichia na kama umefatilia Duniani marais ambao wako first term wengi wanapambana uchumi uendelee pia mana nchi ikindoka ni inshu sana kùwa reelected muangalie Trump na boris kenyata 2022 anakabidhi nchi ivo yeye kwake haina shida sana.
 
Wewe unachojua ni kutamka bwashee tu. Hayo mengine yapo juu ya kichwa chako. Labda chakubanga hapo lumumba utaelewana naye, Jaribu kuwasiliana naye.
Bwashee mbona unalikimbia swali?

Narudia tena, Tanzania itapoteza nini?

Hili ni swali rahisi sana kwa mchumi first class kama wewe, nashangaa unavyorukaruka kama supu ya kiti moto!
 
Bwashee mbona unalikimbia swali?

Narudia tena, Tanzania itapoteza nini?

Hili ni swali rahisi sana kwa mchumi first class kama wewe, nashangaa unavyorukaruka kama supu ya kiti moto!
🤣 🤣 🤣 Huna uwezo wa kuelewa mambo ya kiuchumi. Ndio maana sikuambii. Mimi nakufahamu ndio maana nimekujibu hivyo.
 
Hujaelewa mchezo ndugu? Sisi tunaruhusu Wakenya waingie na hela yao wanunue wanachotaka waende kwao ila wasiingize mizigo yao (sabuni, dawa za meno n.k) Ina maana sisi tuwauzie ila wao wasituuzie.
 
🤣 🤣 🤣 Huna uwezo wa kuelewa mambo ya kiuchumi. Ndio maana sikuambii. Mimi nakufahamu ndio maana nimekujibu hivyo.
Hahahaaaa..... hahahaaaa..... Wewe tuelimishe wana jf maana ulidandia comment ya mtu wakati wewe mwenyewe " ubongo wa kuku"

Mimi nimekubali kwenye uchumi ni sifuri sasa wewe mchumi first class huu ndio uwanja wako wa kujimwambafy.......Tanzania itapoteza nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…