Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Nakubaliana na wewe lakini unamjua alivyo kigeugeu?Mwenye amri ya kufunga mpaka ni Raisi tu, hivyo amini hiyo amri imetoka kwa Raisi, Magufuli hajatamka yeye ili Isionekna anashindana na Kenyata.
Ummy Hana jeuri ya kutoa amri kama hiyo hata siku moja.
Sent using Jamii Forums mobile app