Kenya ni mwingizaji wa bidhaa siyo mwekezajiMwekezaji anapataje hasara, anafunga anachukua capital yake anahamia nchi kwenda kuwekeza kwingine. Watu wanatafta wawekezaji halafu wewe uwafrastrate wakae?
Uwe unasoma taarifa za benki kuu uone nani muigizaji zaidi na nani mlaji zaidi. Sisi tunauza zaidi Kenya kuliko kuagiza ingawa sio tofauti kubwa saana.
True but sio Namanga...au Horohoro..Mkuu mbona hii ilikuepo pale sirari mpakani tokea zamani?.
Halafu naomba kuelimishwa..Hii hatua mbona inaenda tofauti na hotuba ya rais? Au macho yangu?
Ukiagiza ka corola used kutoka japan utatakiwa kulipa x10 zaidi ya bei uliyonunulia hiyo scrap.Ikija deal ya nje ya nchi I always side with my country, kwahiyo ninasema, sawa sawa kabisa na tukitoka hapa bado Zambia.
Sas hapo ukiangalia bidha kutoka Kenya kuja tz na kutoka Tz kwenda Kenya nani atakuwa loser?Uwe unasoma taarifa za benki kuu uone nani muigizaji zaidi na nani mlaji zaidi. Sisi tunauza zaidi Kenya kuliko kuagiza ingawa sio tofauti kubwa saana.
Hahahaaaa.... Hata mwenye hoja yake amekukimbia kwa namna ulivyo " simbilisi"Bwashee! Wewe muwakilishe tu chakubanga hapa jamvini. Haya mengine huna uwezo nayo. It is not even worthy to spend time to explain some economic issues to you country bumpkin. 🤣 🤣
Lumumba watakuwa upande gani?maana hawakutaka mipaka ifungweNafikiri wana Chadema kwa sasa tutakua upande wa serikali maana hili la kufungwa mipaka tulilitamani sana.
Loser ni anaeuza zaidi. Sisi tunauza zaidi kenya kuliko wao wanavyotuuzia. Ndio maana tuna surplus balance of payments.Sas hapo ukiangalia bidha kutoka Kenya kuja tz na kutoka Tz kwenda Kenya nani atakuwa loser?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sijaelewa kama kuna mtu ameelewa vizuri anielewesheMalori yote yanayobeba mizigo na yanayomilikiwa na raia wa Tanzania, na yangependeelea kuingia Tanzania ama yanamilikiwa na raia mwengine wa kigeni lakini bidhaa hiyo iliagizwa na Mtanzania , tafuta lori jingine ili kusafirisha mizigo hiyo