Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

Virusi vya corona: Anna Mghwira atangaza malori ya Kenya kutovuka mpaka wa Tanzania wa Holili

kama mbwai na iwe mbwai, ni mwendo wa kujibu mapigo. Ngoja tusubiri tuone nani ni mnyonge kwa mwenzie. lakini nachokiona ni mazingira magumu kwa wafanyabiashara maana gharama za uendeshaji lazima ziongezeke hasa wanapofika ktk mipaka yetu
 
Ikija deal ya nje ya nchi I always side with my country, kwahiyo ninasema, sawa sawa kabisa na tukitoka hapa bado Zambia.
Ukiagiza ka corola used kutoka japan utatakiwa kulipa x10 zaidi ya bei uliyonunulia hiyo scrap.
Usije ukashangaa.
 
Bwashee! Wewe muwakilishe tu chakubanga hapa jamvini. Haya mengine huna uwezo nayo. It is not even worthy to spend time to explain some economic issues to you country bumpkin. 🤣 🤣
Hahahaaaa.... Hata mwenye hoja yake amekukimbia kwa namna ulivyo " simbilisi"

Amekuacha unahangaika tu......huyo baba yenu wa machame amewakimbia waandishi anaenda kujipanga upya.

Chama Dola ni habari nyingine bwashee wewe endelea kunywa mbege tu huko migombani ukipata Corona nenda kwa mama Mghwira utapewa mitishamba utapona!
 
Ila Kenya si hawajahusisha Malori, walisema Madereva wakipimwa wakakutwa fiti safari itaendelea.
 
Malori yote yanayobeba mizigo na yanayomilikiwa na raia wa Tanzania, na yangependeelea kuingia Tanzania ama yanamilikiwa na raia mwengine wa kigeni lakini bidhaa hiyo iliagizwa na Mtanzania , tafuta lori jingine ili kusafirisha mizigo hiyo
Hapa sijaelewa kama kuna mtu ameelewa vizuri anieleweshe
 
Back
Top Bottom