Swala la mpaka limekuwa na mkoa tena? Hili swala zito, ndio maana hata wenzetu ni Rais ndio katangaza. Mama kashapona Korona huyu au karudi kazini mapema kabla ya wakati?
Tutaanza kupitishia Dar no way ili nao wakose mapato!Bandari ya Mombasa ina mizigo mingi ya Watanzania ambayo hupitia Holili
Mizigo mingi ambayo inakuja kulipiwa kodi Holili
Kwa nini kusitolewe muda ili Watanzania watoe mizigo yao?Tutaanza kupitishia Dar no way ili nao wakose mapato!
Hivi kweli Mhe. Mbowe hajahutubia 'taifa'??Mbowe bado hajatoa tamko?
Blue band, jamaa na panadolKwani sisi tunahitaji nini toka Kenya. Funga kabisa!
Labda, sina uhakika.Hivi kweli Mhe. Mbowe hajahutubia 'taifa'??
Soon huyu atatumbuliwa, kwanza alijitangaza ana corona, pili hafuati njia ya mkuu wa nchi, kwa picha ninayoiona hatadumuHaya kuna hii tena nayo kanusheni.
View attachment 1452759
Panadol tunatengeneza hapa hapa TZ zipo. Blue Band siyo muhimu sana lakini tuna product kama hizo zinatoka SA.Blue band, jamaa na panadol
Hatumbuliwi MTU ameshapewa maagizo afunge mpaka magari ya Kenya yasiingie Tanzania.Soon huyu atatumbuliwa,kwanza alijitangaza ana corona,pili hafuati njia ya mkuu wa nchi,kwa picha ninayoiona hatadumu
Yeye Kenyatta ndiyo ameanza kufunga mpaka ghafla usiku na sisi tumeamua tufunge kama alivyofanya yeye!Kwa nini kusitolewe muda ili Watanzania watoe mizigo yao?
Kwenda huko msaliti wewe!! Hujafa tu!Nchi yenye ombwe la uongozi hili ni kawaida. Yoyote anaweza KUROPOKA chochote hata kama hana mamlaka husika.
Wakenya ndiyo walianza Kenyatta amefunga mpaka unataka sisi tusifunge waendelee kuja tu. No way jino kwa jino!Hiyo ni habari ya kutoka kwa Magufuli kwenda kwa RCs wa Tanga, Manyara, Kilimanjaro na Arusha. Ummy aliikanusha maana haimuhusu yeye. Ni kama hasira hivi ya kulipa kisasi.
Na hili la sisi kuingiza bidhaa kutoka SA linawauma roho kweli.....manyang'au ni watu wa kuogopa kama ukoma maana hawaaminiki...Panadol tunatengeneza hapa hapa TZ zipo. Blue Band siyo muhimu sana lakini tuna product kama hizo zinatoka SA.
Hebu nawe uwe unaelewa! Kenyatta jana ametangaza wanafunga mpaka na Tanzania sasa ulitaka sisi tuwabembeleze kwa lipi?Tabia za kiongozi wetu zinaonekana kwenye hayo matamshi, naamini yeye ndie atakuwa amewaagiza hao "subordinates" wake wazuie hayo malori.
Halafu akiwa anahutubia kanisani anaonekana mnyenyekevu, kumbe moyoni amejaa kisasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya hawatutishi kabisa tunawamudu sana tu na kuanzia kesho tunaanza kuwaorodhesha wote walioko TZ ili ikibidi tuwarudishe kwao. Jino kwa jino hawawezi kutufundisha jinsi ya kushughulikia corona nchini mwetu.Naona wanaleta trade war eeee?
Mawe kuna moto anautafuta!