Virusi vya corona: Rais wa Madagascar Rajoelina amewashutumu wakosoaji wa dawa ya mitishamba

Masi Lambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2020
Posts
532
Reaction score
361
Andry Rajoelina

Bwana Rajoelina anasema kwamba taifa la Ulaya lingekuwa limetenegenza dawa hiyo, majibu ya mataifa ya magharibu yangekuwa tofauti

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amesema kwamba wakosoaji wa dawa ya mitishamba ambayo haijajaribiwa ambayo anaipigia debe kuwa tiba ya Covid-19 inaonyesha tabia ya ubwenyenye ya mataifa ya Magharbi dhidi ya Afrika.

Shirika la Afya duniani limeonya dhidi ya kutumia dawa ambazo hazijafanyiwa majaribio. Dawa hiyo ya rais Rajoelina haijapitia majaribio ya wanadamu.

Muungano wa Afrika pia umesema kwamba inataka kuona data ya kisayansi kuhusu uwezo na usalama wa dawa hiyo kwa jina Covid-Organics.

''Iwapo ingekuwa ni taifa la Ulaya ambalo liligundua dawa hiyo , je kungekuwa na wasiwasi? sidhani'', bwana Rajoelina alisema katika mahojiano na shirika la habari la ufaransa 24.

Madagascar imeripoti wagonjwa 193 wa Covid-19 na hakuna kifo hata kimoja. Dawa hiyo ilifanyiwa majaribio watu 20 katika kipindi cha wiki tatu, mshauri wa rais huyo aliambia BBC wakati bidhaa hiyo ilipozinduliwa kwa mara ya kwanza mwezi uliopita - hatua ambayo haiendani na muongozo wa WHO kuhusu majaribio.

WHO inasema kwamba vipimo na utafutaji wa watu waliokaribiana na wagonjwa ndio njia bora ya kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo.

Licha ya madai hayo , mataifa kadhaa ya bara Afrika ikiwemo Nigeria, Guinea-Bissau, Equitorial Guinea na Liberia , tayari yameagiza dawa hiyo inayozalishwa kutoka kwa mmea wa pakanga - mti unaotumiwa kutengeneza dawa ya malaria pamoja na miti mingine ya Malagasy.

WHO imesema kwamba Waafrika wanahitaji kupata dawa ambayo imepitia majaribio ya kuridhisha hata iwapo inatoka katika tiba za kitamaduni.

Katika mahojiano hayo ya runinga, bwana Rajoelina alisema wanasayansi wa Afrika hawafai kudharauliwa.

Lakini kuna ushahidi kuonyesha kwamba dawa ya Covid-Organic ina uwezo.

'Dawa ya Madagascar inakataliwa kwa kuwa inatoka Afrika '
 
Issue sio kutoka Africa mkuu issue imefuata taratibu za dawa kuweza kutumika kwenye mass.
Dawa kabla hajaidhinishwa kutumika kwa binadamu inapitia ktk phase mbalimbali so ikifuzu ndo inaruhusiwa kutumika kwa binadamu ten kwa kuangalia side effects za dawa kama binadamu anaweza tolerate izo side effects.

Dawa ya madagascar kupigwa vita ni sahihi hata km dawa iyo ingegundulika ndan white house,so ugunduzi wa dawa lazim ufuate international standards ili itumike otherwise tutaendelea kuua figo na maini due to toxicity of drug ambazo hazijaidhinishwa.
 
Issue sio kutoka Africa mkuu issue imefuata taratibu za dawa kuweza kutumika kwenye mass.
Dawa kabla hajaidhinishwa kutumika kwa binadamu inapitia ktk phase mbalimbali so ikifuzu ndo inaruhusiwa kutumika kwa binadamu ten kwa kuangalia side effects za dawa km binadamu anaweza tolerate izo side effects.

Dawa ya madagascar kupigwa vita ni sahihi hata km dawa iyo ingegundulika ndan white house,so ugunduzi wa dawa lazim ufuate international standards ili itumike otherwise tutaendelea kuua figo na maini due to toxicity of drug ambazo hazijaidhinishwa.
Ni dawa zipi za MITISHAMBA huku Afrika zinapitia taratibu za kisayansi? Mbona huwa ni vyakula vya asili tu ambavyo wala havina side effects kwa mwanadamu tofauti na hayo mafansidar ambayo ni makemikali ya viwandani?

Tatizo ni pale mnapoleta vigezo vya kisayansi kwa mitishamba ambayo ni asili pure. Ni sawa na kumlazimisha samaki aishi nchi kavu kama kigezo kikuu. Naunga mkono hoja ya Andy
 
Sasa shida yake ni nini? Wao hawakatai wanahitaji uthinitisho wa kisayansi, hakuna dawa inayoitwa dawa pasipo uthibitisho yeye awapelekee tu uthibitisho au ametumia hisia tu na macho? Kaona watu wamepewa baada ya muda wamepona kasema hiii dawa ndio imewaponya, na Kama imewaponya hiyo dawa mbona ana idadi kubwa ya wagonjwa kuliko hata Uganda? Wewe una dawa halafu una wagonjwa wengi kuliko nchi nyingi za Africa huo tunaita ni uchuro
 
Ni dawa siyo chanjo, vitu viwili tofauti sana.
 
Sasa shida yake ni nini? Wao hawakatai wanahitaji uthinitisho wa kisayansi, hakuna dawa inayoitwa dawa pasipo uthibitisho yeye awapelekee tu uthibitisho au ametumia hisia tu na macho? Kaona watu wamepewa baada ya muda wamepona kasema hiii dawa ndio imewaponya, na Kama imewaponya hiyo dawa mbona ana idadi kubwa ya wagonjwa kuliko hata Uganda? Wewe una dawa halafu una wagonjwa wengi kuliko nchi nyingi za Africa huo tunaita ni uchuro
Kwani umeambiwa ni kinga hiyo? Kuhusu uthibitisho kwani lini WHO wakaomba uthibitisho wa tiba mbadala? Hivi kina dokta Mwaka wana uthibitisho wa WHO? Tuache kupinga kila kitu. Nijuacho mimi hata hao WHO mnaowaabudu hawana tiba wala chanjo, wamebaki kupinga hata kile kilichopo badala ya kujikita kutafuta tiba bora

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Andry Rajoelina

Bwana Rajoelina anasema kwamba taifa la Ulaya lingekuwa limetenegenza dawa hiyo, majibu ya mataifa ya magharibu yangekuwa tofauti

Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amesema kwamba wakosoaji wa dawa ya mitishamba ambayo haijajaribiwa ambayo anaipigia debe kuwa tiba ya Covid-19 inaonyesha tabia ya ubwenyenye ya mataifa ya Magharbi dhidi ya Afrika.

Shirika la Afya duniani limeonya dhidi ya kutumia dawa ambazo hazijafanyiwa majaribio. Dawa hiyo ya rais Rajoelina haijapitia majaribio ya wanadamu.

Muungano wa Afrika pia umesema kwamba inataka kuona data ya kisayansi kuhusu uwezo na usalama wa dawa hiyo kwa jina Covid-Organics.

''Iwapo ingekuwa ni taifa la Ulaya ambalo liligundua dawa hiyo , je kungekuwa na wasiwasi? sidhani'', bwana Rajoelina alisema katika mahojiano na shirika la habari la ufaransa 24.

Madagascar imeripoti wagonjwa 193 wa Covid-19 na hakuna kifo hata kimoja. Dawa hiyo ilifanyiwa majaribio watu 20 katika kipindi cha wiki tatu, mshauri wa rais huyo aliambia BBC wakati bidhaa hiyo ilipozinduliwa kwa mara ya kwanza mwezi uliopita - hatua ambayo haiendani na muongozo wa WHO kuhusu majaribio.

WHO inasema kwamba vipimo na utafutaji wa watu waliokaribiana na wagonjwa ndio njia bora ya kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo.

WHO inasema kwamba vipimo na utafutaji wa watu waliokaribiana na wagonjwa ndio njia bora ya kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo.

Licha ya madai hayo , mataifa kadhaa ya bara Afrika ikiwemo Nigeria, Guinea-Bissau, Equitorial Guinea na Liberia , tayari yameagiza dawa hiyo inayozalishwa kutoka kwa mmea wa pakanga - mti unaotumiwa kutengeneza dawa ya malaria pamoja na miti mingine ya Malagasy.

WHO imesema kwamba Waafrika wanahitaji kupata dawa ambayo imepitia majaribio ya kuridhisha hata iwapo inatoka katika tiba za kitamaduni.

Katika mahojiano hayo ya runinga, bwana Rajoelina alisema wanasayansi wa Afrika hawafai kudharauliwa.

Lakini kuna ushahidi kuonyesha kwamba dawa ya Covid-Organic ina uwezo.

'Dawa ya Madagascar inakataliwa kwa kuwa inatoka Afrika '
Kwahiyo tumwamini yeye kwakuwa ni Rais wa Madagascar? Au yeye ni sangoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo mana nasema waafrica tuna akili za kushikiwa.
KAMA DAWA YAO INAPONESHA KWANINI ISITUMIWE?.
WHO ndo nani kila kitu watupangie?.
Unapowapa watu dawa na wakapona unataka research gani tena ifanyike?.
kipi bora watu kuanza kuitumia hyo dawa wakisubiri ifanyiwe research au waendelee kuambukizwa na kufa bila kuitumia wakisubiri research?

Sent using Jamii Forums mobile app

We babu una matatizo kichwani?
Dawa inaponyesha katibiwa nani? Nani kaongelea WHO? Kama wametengeneza dawa sio lazima watafute WHO, wakae waseme tumeijaribu hii dawa kwa watu labda 50 wenye corona, na tulichokiona ni hiki na hiki baada ya wao kunywa dawa, hivi kufanya hivyo ni kitu kigumu? Mtu anakuja tu na kusema nimegundua dawa, ukimuuliza umetengenezaje anakwambia aliota.

Alafu vilaza kama wewe mnatetea ushenzi wa namna hii, sina muda na watu ka wewe, kwa ufikiriaji wako lazima utakua masikini unanipogezea muda tu. Nenda kanywe hiyo dawa acha kunipotezea muda. Dawa inaponyesha babu yako alikunywa akapona? Hahaha wtf ninakublock sipendi wajinga sifia sifia kila kitu, jina lako linasema kabisa mjingawewe
 
Ebu weka data za madaga kuhusu corona?.
Tumia akili kufikiri sio makalio

Ebu usinitishie kuniblock.
Sikujui,unijui,sili kwako ,silali kwako.
Haujaninunulia simu wala hauniwekei bando.
kwa hyo usinitishie na huo upumbavu wako wa kuniblock
We babu una matatizo kichwani?
Dawa inaponyesha katibiwa nani? Nani kaongelea WHO? Kama wametengeneza dawa sio lazima watafute WHO, wakae waseme tumeijaribu hii dawa kwa watu labda 50 wenye corona, na tulichokiona ni hiki na hiki baada ya wao kunywa dawa, hivi kufanya hivyo ni kitu kigumu? Mtu anakuja tu na kusema nimegundua dawa, ukimuuliza umetengenezaje anakwambia aliota.

Alafu vilaza kama wewe mnatetea ushenzi wa namna hii, sina muda na watu ka wewe, kwa ufikiriaji wako lazima utakua masikini unanipogezea muda tu. Nenda kanywe hiyo dawa acha kunipotezea muda. Dawa inaponyesha babu yako alikunywa akapona? Hahaha wtf ninakublock sipendi wajinga sifia sifia kila kitu, jina lako linasema kabisa mjingawewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrika kuna tiba nyingi na za ajabu! Ukiambiwa hiki kinatibu hili katika hali ya kisomi na kidadisi huwezi kukubali.

Mpaka sasa tiba kuu ya CORONA. ni lishe bora, dawa zote zinazonadiwa ziko katka mfumo wa Lishe na kuinua Kinga mwilini.

Vijijini kuna tiba za kiukweli WHO hawawezi kukubali.
 
Chadema Ndio wanaidhihaki wanaita mitishamba

Utafikiri dawa za Mabeberu zinatengenezwa kwa mawe
Kwa Nini unakuwaga mbwa wewe Kila kitu chadema chadema Hadi tunakuchoka Sasa nyie mngawa taifa kwa vyama huna maana una njaa ya akili
 
Back
Top Bottom