2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Ukiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga.
Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu.
Lengo la US ni kumdhoofisha Mchina kiuchumi baada ya kuona anakuja juu kama moto wa kifuu.
Kirusi icho inasemekana kimetengenezwa na maabara ya kijeshi kule Wuhan na kilenga kabisa kwa Uchina lakini wakitegemea kuwa kama kikiingia kwao watakidhibiti.
"Mbona kinaua kila mtu sasa" inasemekana kila muathirika mpya kina tabia ya kubadilika tabia ndo mana wataalamu wanachelewa kupata chanjo yake.
Eti wadau ni kweli au ndio vita baridi?
Source: Chinese diplomat accuses US Army of creating coronavirus epidemic in Wuhan