Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili timamu ?Ukiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga.
Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu.
Lengo la US ni kumdhoofisha Mchina kiuchumi baada ya kuona anakuja juu kama moto wa kifuu.
Kirusi icho inasemekana kimetengenezwa na maabara ya kijeshi kule Wuhan na kilenga kabisa kwa Uchina lakini wakitegemea kuwa kama kikiingia kwao watakidhibiti.
"Mbona kinaua kila mtu sasa" inasemekana kila muathirika mpya kina tabia ya kubadilika tabia ndo mana wataalamu wanachelewa kupata chanjo yake.
Eti wadau ni kweli au ndio vita baridi?
Source: Chinese diplomat accuses US Army of creating coronavirus epidemic in Wuhan
Futuhi tupuNi silaha mpya ya Wamarekani na imetengenezwa na maabara ya kijeshi kule Wuhan
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata huko Marekani pia Kuna wagonjwa wengi tu wa Corona mpaka baadhi washafariki?Ni silaha mpya ya Wamarekani na imetengenezwa na maabara ya kijeshi kule Wuhan
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata huko Marekani pia Kuna wagonjwa wengi tu wa Corona mpaka baadhi washafariki?
AU
Tuseme silaha yao imewageuka? 😂😂😂😂😂
Huu ni ugonjwa tu kama ilivyokuwa mafua ya nguruwe au mafua makali (SARS).
Vita baridi hiyo, propaganda za mtu mwenye vimacho vitudogoUkiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga.
Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu.
Lengo la US ni kumdhoofisha Mchina kiuchumi baada ya kuona anakuja juu kama moto wa kifuu.
Kirusi icho inasemekana kimetengenezwa na maabara ya kijeshi kule Wuhan na kilenga kabisa kwa Uchina lakini wakitegemea kuwa kama kikiingia kwao watakidhibiti.
"Mbona kinaua kila mtu sasa" inasemekana kila muathirika mpya kina tabia ya kubadilika tabia ndo mana wataalamu wanachelewa kupata chanjo yake.
Eti wadau ni kweli au ndio vita baridi?
Source: Chinese diplomat accuses US Army of creating coronavirus epidemic in Wuhan
Kwani wanakula bila kupika.Au virusi wanaurafiki na moto?Hii ngoma imeanzia hukohuko China,wachina wasitafute mchawi jamii ngani inakula kila kinachoonekana mbele yao! akipita mjusi wanae,duduwasha,mende ,nyoka,popo,uchafu wote wenyewe wanakaanga na kuhamishia tumboni,sasa kwanini wasiugua magonjwa ya ajabu.mwisho wasiku mtu anaibuka na hoja kuwa mtu mwingine ndo amemletea ugonjwa.
Sent using Jamii Forums mobile app