Tetesi: Virusi vya corona silaha mpya ya kibaiolojia toka Marekani

Hawa wanaoitwa maDr. na maProf wa kwetu kufanya utafiti na siyo kukalia siasa.
 
kwenye kaukweli watu watasema uongo na kwenye uongo watu watasema ukweli!

mtoa mada usife moyo chochote kinaweza kuwa possible ingawa watu wengi wanajificha kwenye mwamvuli wa matukio ya nyuma

"knowledge isnt free! You have to pay attention"
 
Una akili timamu ?
 
Marekani wanakambi ya jeshi nchini china(Wuhan)? Acha kuleta story za vijiwe vya kahawa
 
Ni silaha mpya ya Wamarekani na imetengenezwa na maabara ya kijeshi kule Wuhan

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata huko Marekani pia Kuna wagonjwa wengi tu wa Corona mpaka baadhi washafariki?
AU
Tuseme silaha yao imewageuka? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huu ni ugonjwa tu kama ilivyokuwa mafua ya nguruwe au mafua makali (SARS).
 
Haijawahi kusikia beki mzuri kabisa kwenye mpira lakini kajifunga?
 
Vita baridi hiyo, propaganda za mtu mwenye vimacho vitudogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ngoma imeanzia hukohuko China,wachina wasitafute mchawi jamii ngani inakula kila kinachoonekana mbele yao! akipita mjusi wanae,duduwasha,mende ,nyoka,popo,uchafu wote wenyewe wanakaanga na kuhamishia tumboni,sasa kwanini wasiugua magonjwa ya ajabu.mwisho wasiku mtu anaibuka na hoja kuwa mtu mwingine ndo amemletea ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wanakula bila kupika.Au virusi wanaurafiki na moto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…