Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 677
- 1,326
Kwani huu msimu wa kiangazi? Huoni hata maambukizi ya DSM yameongezeka wakati wa mvua hizi zinazonyesha??;Mleta mada labda kama unaishi mkoani; lakini kama upo Dar ambapo rate ya maambukizi ishanoga nakuhakikishia kwa 100% utaacha ku post huu upuuzi wako sio muda mrefu wewe mwenyewe bila kuombwa na mtu kwa kile utakachokua unakiona kama wewe mwenyewe akitokukuta.
Nakupa week 3 ukipost nitag sema kilatha nipe £100 yangu; hilo ni deni najipa.
Nimekupa week 3 zaidi halafu Corona hana adabu anaua watu maskini zaidi ambao miili yao dhaifu kwa nchi ambao hilo kundi limejaa subiri mziki ndio una changanya.Kw
Kwani huu msimu wa kiangazi? Huoni hata maambukizi ya DSM yameongezeka wakati wa mvua hizi zinazonyesha??;
Umesahau kwamba maambukizi yameshamiri wakati huu wa mvua mbona hautumii akili? Unaambiwa wakati wa kiangazi siamini kama jamii Forum ina vilaza wasioelewa kama wwMleta mada labda kama unaishi mkoani; lakini kama upo Dar ambapo rate ya maambukizi ishanoga nakuhakikishia kwa 100% utaacha ku post huu upuuzi wako sio muda mrefu wewe mwenyewe bila kuombwa na mtu kwa kile utakachokua unakiona kama wewe mwenyewe akitokukuta.
Nakupa week 3 ukipost nitag sema kilatha nipe £100 yangu; hilo ni deni najipa.
3 weeks njoo hapa tenaUmesahau kwamba maambukizi yameshamiri wakati huu wa mvua mbona hautumii akili? Unaambiwa wakati wa kiangazi siamini kama jamii Forum ina vilaza wasioelewa kama ww
Wiki tatu hizi ni kuanzia tarehe ngapi hadi tarehe ngapi,maana naona kila wiki zinabaki wiki tatu.Nimekupa week 3 zaidi halafu Corona hana adabu anaua watu maskini zaidi ambao miili yao dhaifu kwa nchi ambao hilo kundi limejaa subiri mziki ndio una changanya.
Sio kweli wanaoambukiza na washinda kwenye magari na maofisi yenye air condition washinda juani corona Haina mpango nao ikisogelea inakutana na Moto inatimua mbio yenyewetu wa Moto utafikiri kaipuliwa kwenye chungu Cha MotoMbona huku kwetu tunaogelea kwenye jua na maambukizi ni 500%
High temperature inaua vidudu ndio maana hata raisi kasema watu wajifukize mvuke huyo.mwanasayansi ka desa au kaibia notisi za daftari ya Magufuli
Kwa hiyo Corona inaweza ikawa haina mpango je wakati wa magharibi na usiku jua hakuna ina maana virusi navyo huwa vinalala?Sio kweli wanaoambukiza na washinda kwenye magari na maofisi yenye air condition washinda juani corona Haina mpango nao
Anza kuhesabu leoWiki tatu hizi ni kuanzia tarehe ngapi hadi tarehe ngapi,maana naona kila wiki zinabaki wiki tatu.
Hapo weka wazi ili hiyo aisje akakosa bure,si unajua watu wanatambika.
Kusambaratishwa na mwanga wa juaKwa hiyo Corona inaweza ikawa haina mpango je wakati wa magharibi na usiku jua hakuna ina maana virusi navyo huwa vinalala?