Virusi vya Corona vinakufa kwenye miale ya jua hivyo basi msimu wa kiangazi Corona itatoweka?

Virusi vya Corona vinakufa kwenye miale ya jua hivyo basi msimu wa kiangazi Corona itatoweka?

Djibouti hali ya hewa ni joto la 33 degrees na wanakufa sana kwa sasa
Yaani joto limechanganya na maiti zinaongezeka
Huu ugonjwa ni mpya bado hatujauelewa na utakaa sana duniani sio wa kuondoka huu

Sent from my iPhone using Tapatalk
Uongo mtupu temperature djibout haijafika huko Google tu uone temperature yake mwongo mkubwa wewe
 
Uongo unakusaidia Nini djibout wagonjwa Hadi Leo hi Mida hii Ni 999 waliokufa Ni wawili tu kwa taarifa rasmi hao.maiti wako wewe umewaokota wapi?
 
Djibouti hali ya hewa ni joto la 33 degrees na wanakufa sana kwa sasa
Yaani joto limechanganya na maiti zinaongezeka
Huu ugonjwa ni mpya bado hatujauelewa na utakaa sana duniani sio wa kuondoka huu

Sent from my iPhone using Tapatalk
Wewe. Unatakiwa kutangazwa Kama mwongo mkuu wa jamii forums aliyekubuhu kwa uongo

Google tu uone namba za vito vya corona Djibouti Ni wawili tu Kati ya wagonjwa 999
Wewe kwa uongo nimekuvulia kofia aiseee
 
Wakuu,, tunapoelekea miezi ya June ,July na August hadi September,,, nchi za kaskazini mwa Ikweta hasa ukanda wa tropic ya Kansa zinaanza kupata kiangazi ambacho huambatana na jua kali + joto kali,, hivyo wenzetu hasa nchi za Ulaya na Asia wanategemea kupata support ya joto na jua kali katika kupambana na corona,,,
Hali hiyo ni tofauti kwa nchi zilizo kusini mwa equator na hasa ambazo zipo kusini mwa tropic ya Capricon(eg A/kusini) ,,kwani nchi hizi zitaanza kupata baridi kali na hivyo kuongeza ugumu kwenye mapambano dhidi ya corona.

Kiufupi ni kwamba wakati wenzetu wataanza kupata support ya hali ya hewa sisi tutaanza kusumbuliwa na hali ya hewa katika mapambano dhidi ya COVID- 19.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo mtupu temperature djibout haijafika huko Google tu uone temperature yake mwongo mkubwa wewe

Corona na kuchanganyikiwa na hasira ndio dalili zake
Hapo ni hasira za Corona tu ndio umekuwa hivyo
Hivi unajua humid weather wewe
Mimi nimeenda Djibouti naijuwa vizuri sana
Kwa sasa ni humid sana na joto
Pia niambie wataalamu wa wapi wamesema kuwa jua linauwa virus?
Tuwe tunatumia maneno ya hekima wakati unapinga jambo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
The German Weather Service (DWD) confirmed that 42.6C was recorded at its station in Lingen, Lower Saxony in western part of the country, on Thursday at 6 pm – the hottest temperature since records began.

It came only a few hours after a new record of 41.5C was recorded in Lingen.

On Wednesday, a previous record of 40.5C was reached in Geilenkirchen, near Mönchengladbach.

Until yesterday, the previous heat record was 40.3 degrees and was measured in the summer of 2015 in Kitzingen, Bavaria.

The DWD tweeted to announce the "preliminary new temperature record" in Lingen.

[emoji3516]baadhi ya record za joto kipindi cha kiangazi nchini Ujerumani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe. Unatakiwa kutangazwa Kama mwongo mkuu wa jamii forums aliyekubuhu kwa uongo

Google tu uone namba za vito vya corona Djibouti Ni wawili tu Kati ya wagonjwa 999
Wewe kwa uongo nimekuvulia kofia aiseee

Una watu Djibouti au unaangalia takwimu za mitandao tu
Endelea kufuatilia na kuamini mitandao hata kwenu huko takwimu ni kwa watu walioonekana tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Uongo mtupu temperature djibout haijafika huko Google tu uone temperature yake mwongo mkubwa wewe

Kweli una matatizo wewe na huu ugonjwa umewaumiza wengi kiakili sikushangai we are in a same boat buddy
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wewe. Unatakiwa kutangazwa Kama mwongo mkuu wa jamii forums aliyekubuhu kwa uongo

Google tu uone namba za vito vya corona Djibouti Ni wawili tu Kati ya wagonjwa 999
Wewe kwa uongo nimekuvulia kofia aiseee

How accurate are Corona death counts
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
3 weeks wananchi wataongea kama sio serikari; binadamu ana toleration level kama waliweza vunja na kutoka hospitali basi hali ilikizidi watatoka mtaani.

Pandemic za size hizi uwezi ificha they occur once in a century or two.
Wewe liongo sana unaokoteleza point nyamaza huna ulijualo
 
Umagharibi umekujaa unajua sisi first case lini tumeripoti hafu Leo hii tuna vifo vingapi acha Tanzania nenda South Afrika au Afrika nzima nonsense kutishana kumbuka ulaya si Afrika
 
Back
Top Bottom