Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 677
- 1,326
- Thread starter
-
- #21
Utaanza kufa ww na ukoo wakoNimekupa week 3 zaidi halafu Corona hana adabu anaua watu maskini zaidi ambao miili yao dhaifu kwa nchi ambao hilo kundi limejaa subiri mziki ndio una changanya.
Mwanga wa jua mwisho wake unajulikana hayo masaa mengine corona nae huwa anapumzikaKusambaratishwa na mwanga wa jua
Ndio.maana raisi kasema jifukize mvuke wa moto kujitia joto virusi vikisogea Moto huo vinakimbia mbio.Kwa hiyo Corona inaweza ikawa haina mpango je wakati wa magharibi na usiku jua hakuna ina maana virusi navyo huwa vinalala?
Corona achagui inawezekana kabisa.Utaanza kufa ww na ukoo wako
Kw
Kwani huu msimu wa kiangazi? Huoni hata maambukizi ya DSM yameongezeka wakati wa mvua hizi zinazonyesha??;
Wenzetu wanazo heater wanaweza kufukiza nyumba nzima mbona wanakufaNdio.maana raisi kasema jifukize mvuke wa moto kujitia joto virusi vikisogea Moto huo vinakimbia mbio.
Naona uko na popcorn kabisa unasubiri kwa hamu...Nimekupa week 3 zaidi halafu Corona hana adabu anaua watu maskini zaidi ambao miili yao dhaifu kwa nchi ambao hilo kundi limejaa subiri mziki ndio una changanya.
Actually it’s the opposite, the unnecessary loss of lives.Naona uko na popcorn kabisa unasubiri kwa hamu...
Joto lao halifikii joto dar hizo heater huwa wanaziwasha Hadi jasho liwatoke kama just la dar?Wenzetu wanazo heater wanaweza kufukiza nyumba nzima mbona wanakufa
Hata mwalimu wako anakuwa na shida hata darasni ulipata div 4 Au zero yaani unaambia unaua na ww unaleta porojoMwanga wa jua mwisho wake unajulikana hayo masaa mengine corona nae huwa anapumzika
Wishful thinking, ndo shida ya kushiba maharage hii.Nimekupa week 3 zaidi halafu Corona hana adabu anaua watu maskini zaidi ambao miili yao dhaifu kwa nchi ambao hilo kundi limejaa subiri mziki ndio una changanya.
Washauriwe wawe wanatembea nazo zi wa heat full time Kama sisi joto la dar linavyotufanya .wawe na mobile heater wazivae popote kichwani au kiunoni itawasaidiaWenzetu wanazo heater wanaweza kufukiza nyumba nzima mbona wanakufa
3 weeks wananchi wataongea kama sio serikari; binadamu ana toleration level kama waliweza vunja na kutoka hospitali basi hali ilikizidi watatoka mtaani.
Wanazo steam baths ambazo ni sawa na kujifukiza mbona bado wanakufaJoto lao halifikii joto dar hizo heater huwa wanaziwasha Hadi jasho liwatoke kama just la dar?
Jibu hoja kama corona anauwawa na jua majira ya jioni na usiku inakuwaje?Hata mwalimu wako anakuwa na shida hata darasni ulipata div 4 Au zero yaani unaambia unaua na ww unaleta porojo
Tb Joshua3 weeks njoo hapa tena