toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,612
- 4,721
Huu ugonjwa utaleta athari mbaya sana za kibiashara hususan sisi tunaonunua mtandaoni.
Mambo yamekwisha anza kuharibika huko Aliexpress na Alibaba.
Hapo sijazungumzia mnaoagiza mizigo na kwenda China mtakavyoathiriwa na hii hali.
China wanatengeneza bidhaa nyingi tu muhimu ambazo pia wafanyabiashara wa hapa kwetu wanazitegemea.
Hili ni pigo kwa dunia
Sent using Jamii Forums mobile app