Virusi vya Corona vitakuwa na athari za kibiashara kwa tunaonunua mtandaoni?

Virusi vya Corona vitakuwa na athari za kibiashara kwa tunaonunua mtandaoni?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,612
Reaction score
4,721
Huu ugonjwa utaleta athari mbaya sana za kibiashara hususan sisi tunaonunua mtandaoni.

Mambo yamekwisha anza kuharibika huko Aliexpress na Alibaba.

Hapo sijazungumzia mnaoagiza mizigo na kwenda China mtakavyoathiriwa na hii hali.

China wanatengeneza bidhaa nyingi tu muhimu ambazo pia wafanyabiashara wa hapa kwetu wanazitegemea.

Hili ni pigo kwa dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa kabisa kabisa,we need to pray hard hii kitu ipotelee mbali tu.
 
Nimeagiza mzigo,nilighafirika kabisa time na place order.Baada ya kukaa muda mrefu bila feedback nawacheck supplier wananijibu nilivyosoma nikaona corona tu basi akili ilinikaa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilistopisha baada ya ilo janga ku hit, sellers hawajibu hata meseji aisee shughuli kadhaa zimesimama dadeki
 
Back
Top Bottom