Virusi vya Corona: Zanzibar Yapokea Mashine Yenye Uwezo wa Kupima Watu 288 kwa Siku

Virusi vya Corona: Zanzibar Yapokea Mashine Yenye Uwezo wa Kupima Watu 288 kwa Siku

Mzee wa wivu alipeleka ventilators chato.
Hachelewi kulaZimisha mashine moja iende chato.

Chato 🦠🦠🦠🦠🦠✌️
 
Nilikuwa chato Mkuu nabangaiza ila hapo kuja kisimposimpo tu nimetabasamu kwani ulitaka nitoe taarifa kama ipi na wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa Chato hii hii inayokaribia kuwa Jamuhuri!!! Hebu tutonye kidogo, eti nikweli jamaa hayupo hapo town kazamia kisiwani kabisa au ni ulongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwakutambua kuwa gonjwa hili lipo na linahitaji mikakati haswa ya kukabiliana nalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa naanza kuamini iwapo Zanzibar ingekuwa ni nchi Huru badala ya kuwa Koloni la Nchi isiyojulikana ya Tanganyika, huenda ingepiga hatua kubwa sana Kiuchumi, Kisiasa na pia Kijamii.
Bila Tanganyika zanzibar si chochote

Mafanikio ya Zanzibar ni jasho la watanganyika
 
Back
Top Bottom