Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 May 16, 2020 #21 Mzee wa wivu alipeleka ventilators chato. Hachelewi kulaZimisha mashine moja iende chato. Chato 🦠🦠🦠🦠🦠✌️
Mzee wa wivu alipeleka ventilators chato. Hachelewi kulaZimisha mashine moja iende chato. Chato 🦠🦠🦠🦠🦠✌️
Bhikalamba JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 1,916 Reaction score 2,756 May 16, 2020 #22 BAK said: Nilikuwa chato Mkuu nabangaiza ila hapo kuja kisimposimpo tu nimetabasamu kwani ulitaka nitoe taarifa kama ipi na wapi? [emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Ulikuwa Chato hii hii inayokaribia kuwa Jamuhuri!!! Hebu tutonye kidogo, eti nikweli jamaa hayupo hapo town kazamia kisiwani kabisa au ni ulongo? Sent using Jamii Forums mobile app
BAK said: Nilikuwa chato Mkuu nabangaiza ila hapo kuja kisimposimpo tu nimetabasamu kwani ulitaka nitoe taarifa kama ipi na wapi? [emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Ulikuwa Chato hii hii inayokaribia kuwa Jamuhuri!!! Hebu tutonye kidogo, eti nikweli jamaa hayupo hapo town kazamia kisiwani kabisa au ni ulongo? Sent using Jamii Forums mobile app
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,026 Reaction score 22,549 May 16, 2020 #23 Hongera serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwakutambua kuwa gonjwa hili lipo na linahitaji mikakati haswa ya kukabiliana nalo Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kwakutambua kuwa gonjwa hili lipo na linahitaji mikakati haswa ya kukabiliana nalo Sent using Jamii Forums mobile app
fyddell JF-Expert Member Joined Dec 19, 2011 Posts 12,026 Reaction score 22,549 May 16, 2020 #24 Tajiri Kichwa said: Unavuka na boti ya asubuhi unapima jioni unarudi na korona yako It is never too late to begin. Start now Click to expand... Hata mimi nitaenda kupima Zanzibar Sent using Jamii Forums mobile app
Tajiri Kichwa said: Unavuka na boti ya asubuhi unapima jioni unarudi na korona yako It is never too late to begin. Start now Click to expand... Hata mimi nitaenda kupima Zanzibar Sent using Jamii Forums mobile app
Automata JF-Expert Member Joined Mar 3, 2015 Posts 3,414 Reaction score 4,794 May 16, 2020 #25 Tate Mkuu said: Sasa naanza kuamini iwapo Zanzibar ingekuwa ni nchi Huru badala ya kuwa Koloni la Nchi isiyojulikana ya Tanganyika, huenda ingepiga hatua kubwa sana Kiuchumi, Kisiasa na pia Kijamii. Click to expand... Bila Tanganyika zanzibar si chochote Mafanikio ya Zanzibar ni jasho la watanganyika
Tate Mkuu said: Sasa naanza kuamini iwapo Zanzibar ingekuwa ni nchi Huru badala ya kuwa Koloni la Nchi isiyojulikana ya Tanganyika, huenda ingepiga hatua kubwa sana Kiuchumi, Kisiasa na pia Kijamii. Click to expand... Bila Tanganyika zanzibar si chochote Mafanikio ya Zanzibar ni jasho la watanganyika