elbarik
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 576
- 395
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona jana nimeskia wazir wa afya amekanusha ugonjwa huo kuwepo tz?!Au nilikuwa naota!!
Hahaa...umenikumbusha kabira moja ukipita kila kitaa lazima ukute nyumba ya mganga. Dawa zote anazo, kuanzia kupata mimba, kinga ya mtoto mchanga, hakiri class, Zika, ukimwi, malelia, ebora, nk.Duh! Hatari, halafu tatizo la Waafrika ni ukosefu wa elimu na uzembe, utakuta sasa waganga wanatundika mabango kwamba wanatibu hadi Zika na Chikungunya halafu miafrika itapiga foleni kufuata matibabu huko.
Anyway poleni kwa wahanga, serikali wachukue tahadhari mapema.
Just hearsay? She was not a health minister, she was serving as a deputy secretary of health ministry.I heard magufuli fired the health minister for revealing zika in Tanzania, someone clarify
No he fired the general director of National Institute for Medical ResearchI heard magufuli fired the health minister for revealing zika in Tanzania, someone clarify
I heard magufuli fired the health minister for revealing zika in Tanzania, someone clarify
Hii ni komendy au? ☺Hahaa...umenikumbusha kabira moja ukipita kila kitaa lazima ukute nyumba ya mganga. Dawa zote anazo, kuanzia kupata mimba, kinga ya mtoto mchanga, hakiri class, Zika, ukimwi, malelia, ebora, nk.
Karibu bariadi mkuuHii ni komendy au? [emoji5]