Virusi vya Zika vyagunduliwa nchini Tanzania - BBC Swahili

Virusi vya Zika vyagunduliwa nchini Tanzania - BBC Swahili

immigration wetu fungeni mpaka wetu na wa tz, watatuambukiza zika hawa jamaa, hata humu ndani kuna wenye kauli za hovyo, lazma wanaugua haya maradhi!
 
immigration wetu fungeni mpaka wetu na wa tz, watatuambukiza zika hawa jamaa, hata humu ndani kuna wenye kauli za hovyo, lazma wanaugua haya maradhi!
[emoji23]
 
Duh! Hatari, halafu tatizo la Waafrika ni ukosefu wa elimu na uzembe, utakuta sasa waganga wanatundika mabango kwamba wanatibu hadi Zika na Chikungunya halafu miafrika itapiga foleni kufuata matibabu huko.

Anyway poleni kwa wahanga, serikali wachukue tahadhari mapema.
 
I heard magufuli fired the health minister for revealing zika in Tanzania, someone clarify
 
Hahaa...umenikumbusha kabira moja ukipita kila kitaa lazima ukute nyumba ya mganga. Dawa zote anazo, kuanzia kupata mimba, kinga ya mtoto mchanga, hakiri class, Zika, ukimwi, malelia, ebora, nk.
 
Hii imeletwa ili tusahau ishu ya max na lema
1481962250078.jpg
1481962256629.jpg
1481962287788.jpg
 
I heard magufuli fired the health minister for revealing zika in Tanzania, someone clarify

Deputy secretary was sacked for announcing ZIKA as epidemic instead of endemic. There are processes that requires to be taken before making such an announcement, processes that requires wider consultations. Noting that it can send panic all over and see all tourists scrambling for the next available plane out of the country.

I think pres. Magufuli was right in this particular action.
 
Hahaa...umenikumbusha kabira moja ukipita kila kitaa lazima ukute nyumba ya mganga. Dawa zote anazo, kuanzia kupata mimba, kinga ya mtoto mchanga, hakiri class, Zika, ukimwi, malelia, ebora, nk.
Hii ni komendy au? ☺
 
dahh hataree sana, tunawaombeeni ndugu zetu watz kwa mola awaepushie hiki kikombe cha zika jamani maana kipindupindu kiliwashinda sembuse zika!!. Kwa awamu hii ya kubana matumizi hali itakuwa mbaya sana hapo bongo, uharo wenu wa zika utanuka hadi sisi tulio nchi jirani utatufikia, huku mkizaa watoto wenye vichwa kama chapati!..
 
Alikurupuka huyo mkuu wa Idara ya afya....kama ilivyo desturi ya mtz.
Jambo kama hili lazima vichwa viwekwe pamoja kabla ya matangazo...wakuu wa afya wa EAC wote pamoja na taasisi za kisayansi zote za EAC na za kimataifa yalipaswa kubadilishana uchunguzi kabya ya yeye kulitangaza hili.
Such a shame!
 
Back
Top Bottom