nimeuliza hili swali sababu awali nilikuwa na visa card ya CRDB ilikuwa ikifanya kazi vizuri huku "ughaibuni" bahati mbaya ili expire ilibidi niombe card mpya.. jana imefika lakini si VISA card bali ni Master Card! ... ndio najiuliza tofauti yake ni nini..?!
CRDB visa card ilikuwa inanisaidia sana kwenye biashara zangu!
Zote ni kadi za benki zinazorahisisha matumizi ya fedha. Zote ni kampuni za Kimarekani. Unaweza ukazipata katika namna mbili; kama debit card au kama credit card.
Debit card inachukua nafasi ya pesa taslimu. Yaani badala ya kubeba hela na kuzitumia ktk malipo yako, unaweza ukatumia debit card iliyounganisha moja kwa moja na checking account yako. Ukinunua kitu au huduma basi unaichanja tu hiyo debit card yako na hela zinatoka moja kwa moja kwenye akaunti yako kwenda kwa huyo unayemlipa. Hii inahitaji kimashine cha kuchanjia. Pia unaweza kulipia hivyo kwa njia ya simu au mtandao.
Credi card ni kama mkopo. Badala ya kupewa mkopo wa pesa taslimu unapewa ki-card hicho badala yake. Na chenyewe unakitumia kama ilivyo debit card lakini tofauti ni kwamba hela itokayo kwenye credit card si yako. Ni mkopo na hivyo itabidi uulipe kwa kadri utumiavyo (ukopavyo).
Nimeeleweka?
..mkuu hii si kweli...siku hz exim pia machine zao zinaallow Visa card kutoa hela...pia barclays,na NBC ukiwa na VISA card unatoboa ukuta tuMaster Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM yeyote duniani iliyopo katika mfumo huo wa MASTER. Kwa mfano kama unayo master card ya CRDB unaweza kuchukua pesa kwenye ATM ya Exim, NBC au Backlays etc .
Visa Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM za benki yako peke yake. Kama unayo visa card ya CRDB huwezi kuitumia kuchukua pesa kwenye ATM ya NBC, Exim au Backlays
umeeleweka mkuu Asante sana endelea kutumia elimu yako kwa manufaa ya wengi
Nyani wacha uongo kwa Tanzania inaweza kuwa tofauti hata nchi nyingine kuna cards ambazo huwezi kuchukua mpunga kwenye benki nyingine. Inategemea na mtoa card kakupa masharti gani. unless unapalilia yaliyopo USA.
BTW Tanzania unaweza kuchukua pesa kutoka kwenye mashine za Barclays tu kama una card kutoka nchi za magharibi na hivi vibenki vingine hupati kitu.
Kama huna uhakika na kile unachokiandika ni bura usichangie. Hii forum inatumika kuelimishana na siyo kupotoshana.
Kama una card yenye nembo ya VISA be it debit or credit, utaweza chukua pesa toka kwenye ATM yenye nembo ya VISA popote pale duniani. Card yangu ina nembo ya VISA na bank yangu ipo UK. The many times I have been to Tanzania I have withdrawn money from most of the major banks including CRDB (UDSM - 2006) and NBC Mlimani City - 2009.
Again if you are not sure of the issue being discussed, it is better not to contribute.
Hiyo ni kweli, sasa hivi naona CRDB wanatoa kadi za Mastercard na sio Visa tena. Nahisi wameshindwana na watu wa VISA na CRDB wameamua kuingia mkataba na Master Card.
wakati na activate wanipe PIN # ilibidi niwapigie simu nikawambia kwamba awali nilikuwa na tembo card visa card, mbona mara hii wamenitumia mastercard! yule shori anaitwa " jully" akaniambia kwamba awali card zao zilikuwa na matatizo na visa card , ni kweli kuna kipindi ilifika nikitumia CRDB VISA card ilikuwa inagoma labda hadi nirudi kesho yake ( siongelei kuhusu tanzania , nikiwa tanzania halijawahi kunikuta hili tatizo)
nadhani ndio sababu wameamua kutoa mastercard
anyways its all good as long mi biashara zangu zinaenda fresh! since nishajua hakuna tofauti kati ya hivi vitu viwili! sina tatizo nao , maana nilitaka niwarudishie card niwakomalie nataka VISA sio MASTERCARD
Nyani wacha uongo kwa Tanzania inaweza kuwa tofauti hata nchi nyingine kuna cards ambazo huwezi kuchukua mpunga kwenye benki nyingine. Inategemea na mtoa card kakupa masharti gani. unless unapalilia yaliyopo USA.
BTW Tanzania unaweza kuchukua pesa kutoka kwenye mashine za Barclays tu kama una card kutoka nchi za magharibi na hivi vibenki vingine hupati kitu.
uwongo/upotoshajimaster card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye atm yeyote duniani iliyopo katika mfumo huo wa master. Kwa mfano kama unayo master card ya crdb unaweza kuchukua pesa kwenye atm ya exim, nbc au backlays etc ...visa card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye atm za benki yako peke yake. Kama unayo visa card ya crdb huwezi kuitumia kuchukua pesa kwenye atm ya nbc, exim au backlays
Hata viza inakuwezesha kuchukua benki yoyote yenye viza duniani koteMaster Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM yeyote duniani iliyopo katika mfumo huo wa MASTER. Kwa mfano kama unayo master card ya CRDB unaweza kuchukua pesa kwenye ATM ya Exim, NBC au Backlays etc ...
Visa Card ni kadi ya benki inayokuwezesha kuchukua pesa kwenye ATM za benki yako peke yake. Kama unayo visa card ya CRDB huwezi kuitumia kuchukua pesa kwenye ATM ya NBC, Exim au Backlays
Zote ni kadi za benki zinazorahisisha matumizi ya fedha. Zote ni kampuni za Kimarekani. Unaweza ukazipata katika namna mbili; kama debit card au kama credit card.
Debit card inachukua nafasi ya pesa taslimu. Yaani badala ya kubeba hela na kuzitumia ktk malipo yako, unaweza ukatumia debit card iliyounganisha moja kwa moja na checking account yako. Ukinunua kitu au huduma basi unaichanja tu hiyo debit card yako na hela zinatoka moja kwa moja kwenye akaunti yako kwenda kwa huyo unayemlipa. Hii inahitaji kimashine cha kuchanjia. Pia unaweza kulipia hivyo kwa njia ya simu au mtandao.
Credi card ni kama mkopo. Badala ya kupewa mkopo wa pesa taslimu unapewa ki-card hicho badala yake. Na chenyewe unakitumia kama ilivyo debit card lakini tofauti ni kwamba hela itokayo kwenye credit card si yako. Ni mkopo na hivyo itabidi uulipe kwa kadri utumiavyo (ukopavyo).
Nimeeleweka?
Umeeleweka lakini hukujibu swali. Yeye anataka tofauti kati ya Master Card na VISA card. Wewe umetoa similarities.
Wakuu msiwe na wasiwasi kuhusu Visa, MC, Discovery ama AMEX kwani wazee wa mafeki/wachina nao wameshaanzisha independent international monetary network yao yenye logo ya kipekee inaitwa "CHA CHING", leongo lao ni kuwapita Via na Mastercard
Kama huna uhakika na kile unachokiandika ni bura usichangie. Hii forum inatumika kuelimishana na siyo kupotoshana.
Kama una card yenye nembo ya VISA be it debit or credit, utaweza chukua pesa toka kwenye ATM yenye nembo ya VISA popote pale duniani. Card yangu ina nembo ya VISA na bank yangu ipo UK. The many times I have been to Tanzania I have withdrawn money from most of the major banks including CRDB (UDSM - 2006) and NBC Mlimani City - 2009.
Again if you are not sure of the issue being discussed, it is better not to contribute.
[/COLOR]
sio kweli, mimi nina Cirrus na ninaweza kuchukua pesa through ATM za NBC, CRDB & stanbic, nahisi hata ATM za Bank nyingine zitatoa sijajaribu tu. na ninapata rate nzuri tu sawa na za mtaani hapa DSM